playboy baabu
Member
- Feb 4, 2016
- 83
- 12
Kama hutoweza kufafanua maana ya msanii wa kimataifa nyamaza maana simply utakuwa hujui unachoongea hahahahaaaa#samahani lakiniMmmmh,mdau uctake kuja kusema Kiba kujulikana Afrika Mashariki ndo keshakuwa msanii wakimataifa hapa!Afrika Mashariki hata Berry black wanamjua.
Kiti chake na ndo maana kawagaragaza tuzo 5 mlipokutana uso kwa uso... Na baada ya yy kurudi kateka attention zenu mnafuatilia japo kiroho mbaya ila mnaskiza ngoma zake na video zake mnatazama hahahahaaaatatizo kang'ang'ania kiti kumbe kiti chenyewe sio chake waliomdanganya wamemkimbia pemben wanamcheka
Lets enjoy it niffah me pale wiu wiu wiii wiu wi uuwi...huyu jamaa hafai aysee hahahahahaaaa imenimalizia sana chaji hii ngoma since yesterday aysee afu kuna maneno flan kama ya kiarabu hiviiMimi hiki kipande tu kimeshanichizisha tayari....
Haters mapovu mengi sana,no time to waste
Ngoja nienjoy Lupela mie
Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaaUshauri mchungu huu wachache watakuelewa yaani graph badala ya kupanda inashuka.
Lets enjoy it niffah me pale wiu wiu wiii wiu wi uuwi...huyu jamaa hafai aysee hahahahahaaaa imenimalizia sana chaji hii ngoma since yesterday aysee afu kuna maneno flan kama ya kiarabu hivii
Uwiiiiii ikifika hiyo sehemu naserebuka kama sina akili nzuri!Lets enjoy it niffah me pale wiu wiu wiii wiu wi uuwi...huyu jamaa hafai aysee hahahahahaaaa imenimalizia sana chaji hii ngoma since yesterday aysee afu kuna maneno flan kama ya kiarabu hivii
Hahahahahaaaaa mkuu umetisha sana,eti shangingi....lolWacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Inawezekana mambo ya TEHAMA tu, wakiutoa nitaurudishaMmeshautoa nini mbona haupakuliki
Yeye zake za upendeleo za KTMA. Mawingu wanalalama kuwa jamaa habebeki, zigo la misumali.kweli kwa wimbo huu ndio ategemee kupata tuzo za kimataifa?
Aangalie plan BAlikiba ukisikiliza hawa nyumbu itafika mahali utashindwa kunya na chakula umekula mwenyewe kwa raha zako......kwani binadamu wanakosa la kusema basi!!!
Aaah bhana wee, shusha dude hilo watu tujisafie nafsi mwenye povu akajisuuze mto msimbazi! Arrghaaa!
Ndo ilivyo nishah yaan huo ndo ukweliHahahahahaaaaa mkuu umetisha sana,eti shangingi....lol
Hawa COSOTA waharakishe hizi sheria zao ziwe enforceable, Kiba lazima ashitakiwe kwa piracy. Huwezi copy kitu cha mtu (intellectual property) na watu wakashabikia wizi.Vodacom wameharibu Diamond kuwa Balozi wao na Lupela kuwachiwa.Nazani Ali K tumbo joto kasongi ka Husen machozi.
Yaan ndo ukweli huo nishaahHahahahahaaaaa mkuu umetisha sana,eti shangingi....lol
Me kanishinda tabia kiba aysee uvumilivu nae sina kabisaaUwiiiiii ikifika hiyo sehemu naserebuka kama sina akili nzuri!
Waite,marafiki zako...baba mama yako
Waaaaje...dah huyu jamaa nimemkataa,hafai kabisa.
Poor thinking capacity, you are out of the topic. Throw it away.Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Wacha wee mzuri upi babaTeh teh hapa king kiba umezingua, wimbo mbovu dah
Na nyie mpendeleeni wenu hahahahaaaaa ng'avi inagonga kyupYeye zake za upendeleo za KTMA. Mawingu wanalalama kuwa jamaa habebeki, zigo la misumali.