Ali Kiba - Lupela

Yaaan ni bora angeimba nymbo ya wanyaka kabsha tembo, chui, simba. Hata kama ni mbaya tungemuelwacoz angekua anawatetea wasiuliwe sasa hii nso nymbo gani hata haieleweki.
 
video yenyewe giza giza tu,ali kiba Bwana,Diamond ni wa kimataifa huyo huwezi mlinganisha na alikiba,alikiba mlinganishe na kina linex
Tengeneza yako uifanye utakavyo we ajuza au umkompe anaye kukaza
 
Fan wa muziki kiukweli hawezi kuamua uzuri wa nyimbo kwa kutizama video! Mie hata sihitaji kuona hiyo video ndio nitoe uamuzi. Ngoma nimeidownload na ni tamu saaaaana. LUPELA MBONA IKO SAWA!
wewe safi...
toa maoni yako...
mjibu mtu...
lakini usimtukane wala kumdhalilisha..!
 
ALI KIBA NI MWANAMUZIKI MWENYE UJUZI NA SAUTI ANAANGUSHWA NA VIDEO DIRECTOR WAKE.......YANI KILICHOPO KWENYE VIDEO NA TAFSIRI YA NYIMBO APO MI SINA NENO
 
kazi ya fasihi ni lazima ifanyiwe analysis...
kwahiyo kukosolewa ni kutimiza misingi ya uchambuzi wa kazi ya fasihi..!
 
I expected this.... ally kiba is always mediocre
 
wasaniii wetu walifuata sana hawa mashabiki uchwara wataishia hapahapa......alikiba alikuwa mtu wa kushindana na AY kipindi hicho alikiba sio wa leo kakaaa eti kushindana na diamond,hawezi hatomuweza kazoea kukaaa uswahili anaendesha mambo yako uswahili mwenzake anajenga uswahili na nje ya uswahilini.....nyie mashabiki wanafiki mwambieni ukweli hatoweza na hatokuja kuweza
 
kazi ya fasihi ni lazima ifanyiwe analysis...
kwahiyo kukosolewa ni kutimiza misingi ya uchambuzi wa kazi ya fasihi..!
Hilo sina shida nalo, ila kuonekana watu walewale ndio wanaokashifu kazi za Ali Kiba kila siku na kusifia za Diamond bila kukosoa chochote ndio kuna walakini... Au za Diamond huwa hazinaga kasoro kabisa??

Huu ubishi wa hizi pande mbili sana sana tuwaachie wadada... Mwanaume mzima kusubiri mwanamme mwenzako afanye kazi then uanze kukosoa ni ujinga...
 
kwani kiba anashindana na mondi, mbona umetoa hukumu mwenyewe, ungeweka uzi watu watiririke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…