Ali Kiba - Lupela

Na hao ndio wanao wanaompotosha ,hawataki kumwimbia ukweli kuwa aongeze ubunifu.

Soko la sasa hata kama wimbo uwe mzuri kiasi gani video yake ndio inauza.

Kosea Kate lakini sio kwa video.

sifa ya mashabiki wa kiba matusi. wanatukana balaa ukitoa ushauri kama huo unaonekana ni snitch utaoga mitusi hadi bas.
 

Diamond zile tuzo haziji kwa bahati mbaya, ni ubunifu na kukubali kukosolewa.

Ni bora awe na maadui wa kutosha kuliko kuwa na mashabiki viazi kama wewe.

Kila siku mnamdanganya makali huku akiishia kuwa andgraund tu.
 
... tatizo ni nini? background (i.e., hao tembo & mandhari ya pori)?
Mkuu video lazima iwe na vipande ambavyo vitakufanya ushike remote mkononi, sasa video ipo kama masanii yupo jukwaani.

Labda niambie wewe ukali wa ile video uko wapi. ?
 
Mkuu vieo lazima iwe na vipande ambavyo vitakufanya ushike remote mkononi, sasa video ipo kama masanii yupo jukwaani.

Labda niambie wewe ukali wa ile video uko wapi. ?
Acha chuki kwani lazima uangalie wimbo wa kiba
 
who should be point fingered, Ali kiba or video director?
 
Huwezi kunipangia nimwalie nani nimwache nani.

Mimi alikiba nakutana nae sokoni wewe unakutana nae kitandani hivyo huwezi kunielewa kamwe.
Eti wakutana naye sokoni. Punguza chuki sokoni labda unakojiuzaga
 
Video nzuri sana tu, mimi binafsi nimeipenda...

Ukiona mwanaume kazi yako kubwa kusubiri mwanaume mwenzako afanye kazi then wewe ukae kijiweni ukosoe ujue una matatizo makubwa sana... Ali Kiba kuweka kipande kinachoonyesha Tembo kwenye Video yake imekuwa kesi ila Dimondi alimweka Dr. Mwaka na wala hakuna aliyekosoa wala kusema chochote...

Ambao hamjaiona video hii hapa..

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…