donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Basi atakuwa maarufu kuliko baba yake piaNillan ni maarufu kuliko kiba mwenyewe!
nillan ndo kitu gan?Nillan ni maarufu kuliko kiba mwenyewe!
Mtoto wa marehem IVANnillan ndo kitu gan?
naye ni msanii maan naambiwa maarufu kuliko kibaMtoto wa marehem IVAN
Tiffah vipi nae tupieni tuone km baadae wataendana hahaha!!!
Bi devotha ni wakawaida tuBila shaka mama yake atakuwa mrembo wa nguvu
mmmmh. watu tunawaza tofauti. nilipata kusema, macho hutazama yale yavutiayo nafsi.Bila shaka mama yake atakuwa mrembo wa nguvu