Aimbe tu hata atajetaje majina tutamsapoti king kiba na atagota viewars 2m
ndio hao hao wamemshusha na wamempandisha Kiba avumilie tu mbona mr.nice ameshuka lakini maisha yanaendelea hata yeye atazoea tu
Nani aliyeanzisha bifu?Kawaida ya waafrika kujikweza wakati uwezo mdooogooo fuull kubebwa na bifu
SanaHalafu watu hawamfatiliii anajitahd kutafuta kwa kick zimegoma nimeamini kua mange ndio anampaishaga ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona ila haija kickkkk!!!habari ya mjini seduce me!!!Sana
Ngoj nikasake ubuyu kama kweli Domi.kapayuka insta au wamezusha
Sanaa na hana mda mrefu ataachikaMumeo ana shida sana
Lexus Mayai
Daaah kwa hiyo mashabiki wa Kiba ni wanuka chupi?? au sijakuelewa
Usiseme watanza nia sema weweKiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
Wimbo mbaya sababu ya hilo neno?ndo maana linyimbo libaya, na hilo neno despacito amelitoa wapi kama sio fix. ali kimba
Anagonga 2M ila Mange ni balaaa!!!
Sio kwa Pande lile alilompigiaa!!
Mange ana60%ya hiloo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote nasema nyie timu malkia mna mnazingua.
Nani aliyeanzisha bifu?
Malikia bhnaSergio
Sawa Kipusa
noja wajeKiba yuko overrated sana, sio msanii mzuri kivile, wa kawaida sana. Ana bahati watanzania wengi tuna chuki na mafanikio ya mtu mwingine, ashukuru Mungu Diamond anafanikiwa sana kimuziki na sisi watanzania hatupendi mtu afanikiwe hivyo tunamsifia ili tu kumnunisha Diamond kwa sababu ya mafanikio yake.
iyo ni ya kitambo sana sema inaowaongezea watu nyongoKwa kweli... maana si kwa kampeni ile
Halafu Too bad nasikia Domo katapika insta itazidi kumpoteza...ngoja nikasake huu ubuyy