Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 875
Akihojiwa na Planet Bongo,msanii Ali kiba amesema nyimbo ya [HASHTAG]#Seduce[/HASHTAG] #me ilitengenezwa miaka 2 iliopita katika studio ya Combinenga.
Ali kiba akiwa na Man Walter Ea radio amesema mashabiki wake walikua wanapresha kubwa ya kusubiri wimbo wake mpya,ili kuondoa panic kaamua kuachia kwanza Seduce me kwa kuzingatia ushauri wa Man Walter.
Sasa basi kasema mashabiki wake wasubiri ilo jiwe jipya,ambalo linakuja kukata Kiu yenu.
My take
Kama [HASHTAG]#Seduce[/HASHTAG] #me ni starter na imevunja rekodi kibao..je ilo dude itakuwaje....Tusubiri