Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

humu ndani wame jaa first year kibao eti leo wana jiita watoto wa mjini......nakumbuka hata wewe kwenye uzi fulani mlikua mna kumbushana mlivyo kua watoto enzi zenu kule mtwara ha ha ha leo wajiita don town ha ha ha duuh.

Kuwa na adabu na wakubwa wako,utakuta mtu kama wewe umekuja mjini tume ya jiji imeshavunjwa ila ndio hivyo lakini bado ni ndugu yetu wewe hata Mwalimu Nyerere alopokelewa mjini na waakina Ally Sykes,Rupia.
 
Matola ongeza pesa bana we mtu mkubwa hivyo umetembea nchi zote duniani,,umekaa meza moja na watu maarufu na wakubwa duniani unatoa 20000 au umesahau zero moja ninii !!!!!! Moderator aongeze pesa bana kwa heshima kubwa aliyonayo matola jf

Infact mimi sitoi pesa labda umedandia treni kwa mbele wadau wanafahamu Complimentary itakayotoka ni ipi na be ready for phase 2 promo tutamchaguwa moderator wetu wa uzi huu huu kuendesha promosheni za chemsha bongo kila weekend na mafans watakuwa wanajishindia zawadi mbalimbali, na wewe unakaribishwa

Huu ni ujio wa umri Matola in new emage.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na adabu na wakubwa wako,utakuta mtu kama wewe umekuja mjini tume ya jiji imeshavunjwa ila ndio hivyo lakini bado ni ndugu yetu wewe hata Mwalimu Nyerere alopokelewa mjini na waakina Ally Sykes,Rupia.

Ume elewa ulicho kiandika? kasome "CL 1000"
 
Infact mimi sitoi pesa labda umedandia treni kwa mbele wadau wanafahamu Complimentary itakayotoka ni ipi na be ready for phase 2 promo tutamchaguwa moderator wetu wa uzi huu huu kuendesha promosheni za chemsha bongo kila weekend na mafans watakuwa wanajishindia zawadi mbalimbali, na wewe unakaribishwa

Huu ni ujio wa umri Matola in new emage.

Heee kwa hiyo nimeeelewa vibayaa hiyo kwa hisani ya matola nimeielewa vibata etii ,,sorry
 
humu ndani wame jaa first year kibao eti leo wana jiita watoto wa mjini......nakumbuka hata wewe kwenye uzi fulani mlikua mna kumbushana mlivyo kua watoto enzi zenu kule mtwara ha ha ha leo wajiita don town ha ha ha duuh.

mimi huyooo...?!!!
rudi kasome uzi vizuri...!!!
ukikuta mimi nilikua napiga story za utoto mtwara naomba ban for one year!!
 
mtenda akitendewa huhisi kweli kaonewa.alianza muuza sura kwa maneno ya shombo but nyie hamkuona tatizo mkaanza kuunga mkono hoja,mimi nimemjibu mnaona nimekoseaa.sijalelewa mtu akinipiga shavu la kushoto nmgeuzie na shavu la kulia
 
Yaani sielewi,mmeamua mlale humu nyie mashabiki wa Dai?what a shame!Kiba 4 real! Lazima muje u knw!I like it!
 
anayejisikia kuntukana na kunambia maneno ya shombo aseme tu yaan nmefuzu.hakuna mstaarabu km mimi but ukijifanya unajua shombo mimi nina maneno machafu kama choo cha stendi.nilikuonya asubuh muuza sura lakini naona unataka action.cjakuquote but umejifanya mjuaji so muvi iendelee

Mimi siyo class yako. .shukuru JF imekufanya upate kuchangia maongezi na mimi. ..mishale hii jiulize nipo wapi!ndo ujue hatufanani mimi na wewe kijuso
 
Worry not masharti na vigezo kuzingatiwa, hii siyo kamati ya Lundenga hata kidogo.

Najua mkuu. Nitafurahi akishinda wa nyumbani kuliko hawa wa mtaa pili ambao naona wanakuja kwa kasi sana kuvizia tuzo ya bundle.
Ova
 
Back
Top Bottom