Wimbo ni mkali mbalii, pamoja na WCB kumchangia lakini wapi hashikiki aisee. Sichoki kusikiliza
Ali nakuambia unajua #seduce#
Naona na WCB wametoa na yenyewe iko poa lakin naona seduce me ni balaa. Ali nyimbo zake hazichoshi kabisa na hatoi kila mara. WCB tunaomba muige hili, nyimbo zenu zinafanana mno mpaka zinakinaii.
Alikiba nimeshindwa kujizuia aisee