Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
Aje na rafiki zake..kiba kipenzi cha watuu
Hahaha umefeli bro!
Vepeeeee unajiquote mwenyewe?Nimekuuliza hivo kwa sababu nimeuweka wimbo halafu wewe ukasema "Majungu at Work".
Sikukusoma.
Vepeeeee unajiquote mwenyewe?
![]()
![]()
![]()
Basi haya
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uwiiiiii
Huu wimbo kaamua kuutoa kimya kimya au watu wamempotezea?Ile video ya Lupela nilibakigi cheka video ina tembo wengi kuliko wa serengeti sijui aliwategaje
So what?Ile video ya Lupela nilibakigi cheka video ina tembo wengi kuliko wa serengeti sijui aliwategaje
So what?
Unaniambia mimi kama nani?Ili iweje?
Hakika!Pwilo na Shardcore wametoroka kundi hali mbaya. Unatakiwa uwe jasiri kuwa shabaki wa ndovu.