Hapo ni diamondplatnumz pekeyake hiyo tuzo yetu bila kutumia nguvu yoyote... hio list yote unayoiona ni wasindikizaji tu kwasababu hawawezi kumuweka chibu pekeyake mwakajana walimuweka Peter msechu hahahahaha leo wsmeleta msindikiaji mpya sasa sijui unataka kusema msevhu ni international kamtangulia le kimbaaaz TUNABEBA KAMA MWSKA JANA