Ali Kiba Fans' Special Thread...

nyamazeni basi na tuzo ya udancer, alikiba mwanamziki sio dancer ko hzo hazimhusu
 
Tuzo diamond kapata sawa lakini aache umamuma.....kulikuwa kuna haja gani yakuweka video ya jokate na kupiga picha akionesha dole la kati.

Unafikiri Diamond sio binaadamu hana roho

Ilikua inamuuma sana kuona upande wapili wameamua kupigia kura wapinzani wake kwenye kategori zake

Ile furaha alishindwa kujizuia kutupa dongo
Hapa ni vita ya kuumiza kisaikolojia, sema itagemea sasa aliyekerwa analipokeaje
 

Kumbe ilikua inamuuma, angekunywa panadol, angetuliza maumivu.
 
kwani kilimanjaro ni nani kwa mfano this is fake a/c kwani hamuwezi kufungua nyinyi yani domo ni mtume kwenu hakosei

HAKUNA NAMNA LAZIMA MNYOOKE HAHAHA

le mafurikozzzz,

Wanakwambia

""KWELI TUMEJIFUNZA KITU HAPA
HE IS UNSTOPPABLE""""

Wslivyokuwa wanawapa tuzo mliwakubali sahivi mnakimbia hahahaha kweli cha bure kina tabu

MNABAKI KULIALIA TU SAHIVI








MTANYOOKA TU
 
Teh Teh...habari yako nifah? Hivi mtani wangu atoto umemuona wapi namtafuta mwezi sasa hata simu yake haipokelewi au katekwa?

Kama kawaida yako bwana chaumbea...uzuri nimeshakujua wala hunipi taabu. atoto na aje ajibu hizi tuhuma zake.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzako mi ni turufu
si garasa
mwenye nyota ya umaarufu
si kupapasa
Tena jokeri la nguvu
Makarata oooh
Tena hodari wa nguvu si kwasakwasa

pipooooooooooz kaaaaaaama nawaona vile wakina mwafulani na kiongozi wao le kimbaz walivyo panick hahahaha

NEXT STOP
+ July 24, Moshi
+ August 1, Kenya Nairobi
+ August 8, Tanga

MTANYOOKA TU!!
Wapi walinda tembo kwa kujitolea??
Mtajuta kutufahamu hahahaha!!!!
 

Watanyoooka tuu mwaka huuu...
 
Umeona kuna uchafu apo? Nipe maona basi c ushaichungulia chupa
Huo muda ninao sasa? Si bora nikaangalie video ya Chekecha ya King Kiba.....
Ndio maana nikakuambia acha kutuchafulia uzi kama mtu akitaka kuangalia ataitafuta huko YouTube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…