Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Sawa pwilo ndo tatizo la mswahili sikuona haja ya Ku post huo ujinga ili iweje. Na babu tale nalo lina post ujinga. Mashabiki hawaletewi shombo hvo. Nadhani ana hasira na Joketi kisa yuko close na kiba. This is insanity aisee to highest level and stupidity. Si amu face kiba mwenyewe.see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo
see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo
Lack of exposureMmmh kumbe ndo ivyo.
Kweli domo ana mambo ya kijinga
Sawa pwilo ndo tatizo la mswahili sikuona haja ya Ku post huo ujinga ili iweje. Na babu tale nalo lina post ujinga. Mashabiki hawaletewi shombo hvo. Nadhani ana hasira na Joketi kisa yuko close na kiba. This is insanity aisee to highest level and stupidity. Si amu face kiba mwenyewe.
Joketi atajutraa kudate standard seven aisee#EducationIsSex.
Mmmh kumbe ndo ivyo.
Kweli domo ana mambo ya kijinga
dada Diva Beyonce achana nao hao unajua hiyo video ni ya lini toka mdogomdogo inatoka au hebu uliza huyo akwambie ni ya lini???
see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo
Sawa pwilo ndo tatizo la mswahili sikuona haja ya Ku post huo ujinga ili iweje. Na babu tale nalo lina post ujinga. Mashabiki hawaletewi shombo hvo. Nadhani ana hasira na Joketi kisa yuko close na kiba. This is insanity aisee to highest level and stupidity. Si amu face kiba mwenyewe.
Joketi atajutraa kudate standard seven aisee#EducationIsSex.
Poor mentality tu waliyo nayo na kujielewa. Wao wamezoea negativity Mpaka basi na uadui ka vitani. Hahaaaa number kwenye timu kabisa ya waswahili Swahili hvo aisee with poor reason and argument. Over my dead body aisee.
Halafu nitakua mnafiki kama nisipokupa gwala cute b, hakika wewe ni jeshi la mtu mmoja kama ulivyosema.
Umenipa raha kuanzia jana ndio maana niko kimya tu, laiti ungeniona ninavyocheka....umejua kuwapasua majirani kwa hasira maana uko peke yako na wao kibaaaaoooo ila umeisimamia show hadi mwisho!:thumbup::thumbup:
vote vote vote for davidalofficial
Oyaaa hiv kiba yuko kwenye top ten yoyote trace mtv au hata soundcity? Na ile cheketua mana nivideo nomaga sana et wakuu