V money cjui kimetokea nn maana yeye hadi wakina team wema, team kiba n mond walikuwa kwake may be ilikuwa unafiki kupost picha me idadi za kura nilizompigia vanessa n diamond zipo sawa

jamani kuna hii video ya miccasa ambamo mwanzo kuna mzee anamfundisha mwanaye kudance then dogo anaenda club, anaintroduce ile style then mwisho anaondoka na demu, kama kuna mtu anafahamu jina lake anijulishe
best collobo isingeenda kwa diamond,Ile ngoma aliyoshindanishwa hawezi kushinda,ingekuwa hii nana ya sasa angeshinda,kaingizwa kwenye hiyo category kwa ngoma isiyo na mvuto