Nimeshangaa ikabidi najikalie zangu kimya tu.
Kwani wao wakizipata sisi inatuhusu au kutuumiza vipi?
Nitaghafilika kidogo tu kama wale niliowapigia kura wakikosa na sio vinginevyo.
Best live sio kukata mauno mkuu kama khanga moja, subiri leo kuna watu mtakimbia JF alaf mkirudi tu mtakuwa mshachelewa maana mtakutana na collabo la King na Christian bella.
Best live sio kukata mauno mkuu kama khanga moja, subiri leo kuna watu mtakimbia JF alaf mkirudi tu mtakuwa mshachelewa maana mtakutana na collabo la King na Christian bella.
Acheni kutuchafulia Uzi wetu na huyo chai jaba wenu pelekeni kwenye Uzi wake. Mbona hamjiamini utoto utawaisha lini kah watu wazima hovyo na mizivu ka stili waya lakini hamjehishimu.
halafu mi nashangaa sana hawa jamaa msiwajibu waacheni kwanza wapumue mpaka tuzo ziishe msijaze page hapa nendeni kule kuna thread ya tuzo imeanzisha ila vanessa naskia kakimbia tayari hahaaa