Ali Kiba Fans' Special Thread...


mh! very sad wao wanakuja kutusumbua huku kusudi kumbe wanalengo lao sasa ngoja tusubirie hizo tuzo zao utaona watavyokuja kusumbua huku"
 

kwahiyo inakusumbua sana au. acha uboya wewe. sasa kwenye huu umefuata nini?
 

mkuu kwani sheria za jf zinakataza kwa hiyo kusalimiana pia haifai mbona nyinyi kule mnajadili upuuzi kushinda cc na mnamtukana kiba mbona hamfanywi kitu sasa ndo tunaanza kulifanya group la whats rasmi Diva Beyonce atoto cute b nawapenda sanaaa ndo kinachowaumizaa kumbe
 
Last edited by a moderator:

tatizo lenu mnataka tuwaige hatuwaigi ng'o tutafanya tunachojiskia sawa bungeni ndo sehemu ya heshima na wana jadili upuuzi ijekua cc King kiba fans ruksa mtu kujadili chochote narudia chochote ilimradi asivunje sheria za jf tena ndo mmechokoza nyukii nyie
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani kuweni huru kabisaa huyo Kidingi asiwazingue huo ushauri kamshauri romy jons aache kutoa 0713 na domo aache kudate na bibi zake kwa kutafuta umaarufuu demu anawatoto watatu omg very sad
 
Last edited by a moderator:
yani nyie mashabiki wa dai mnagenye sana mbona cc hatuji kwenu kulee acheni genye sawa Kidingi we umeniona kule kwenye thread yenu na msitupangie cha kujadili mkuu Matola umesoma koment na maoni ya wadau close this thread as soon as possible
 
Last edited by a moderator:
yani nyie mashabiki wa dai mnagenye sana mbona cc hatuji kwenu kulee acheni genye sawa Kidingi we umeniona kule kwenye thread yenu na msitupangie cha kujadili mkuu Matola umesoma koment na maoni ya wadau close this thread as soon as possible

Sawa mkuu nimekusoma.. Pamojaaa.. Ila msichukue maamuzi ya kufunga thread bwana ni vitu vidogo tu mvivumilie natumaini ukimya wenu utakuwa umewapa fundisho kidogo

Niajee collable ya sauti sol na King kiba umezipata nyepesi nyepesu zake?? natumaini itakuwa moja ya project kubwa sana Africa
 
Last edited by a moderator:
huyo kidingi anataka kutupangia sheria katika uzi wa kiba. akapange kwenye uzi wao

Am solee mkuu.. I was just kiding... Huu ndio uzi bora kabisa kuwahi kutokea celebrity forum msiufute for the King's sake...
 
Grow up wewe jiheshimu na heshimu mawazo ya wengine hatuwezi kufanana wote. If you love chai jaba its okay. Hamna aliye kuja kuanza maneno yenye shombo na utandale huku.
Sasa watu kupeana hi kuna shida gani au unaumia nini mana sio Uzi huh tu watu hupeana hi. Msifikiri kufutwa kwa comments ndo mume win eeh.
Acheni upumbavu na hao wenziwe jiheshimuni hatutaki ujinga kwenye uu uzi. Mazafantazi.
 
Ndo ushangae sasa mbona kuna special threads nyingi watu wanapeana hi kwani kumjulia mtu hi ni shida. Huyo mbea kashazoea uswahili kwahyo kaona wivu kusalimiana. Mxiiiiiiew zao.
 
Last edited by a moderator:
huyo kidingi anataka kutupangia sheria katika uzi wa kiba. akapange kwenye uzi wao

yani mkuu huu ni ujinga huu haki ya mungu hata katiba hairuhusu yani hawa jamaaa sio insta sio jf wao ni ugomvi et sote tumpende dai not possible
 
close this one will b better than discussing with stu.pid fans who wants every one to love a certain artist (close will be better) kingkiba 4realy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…