Ali Kiba Fans' Special Thread...

kumbe nimekukot samahani sikukot teeeeenaaaaaa

Cheki ume ni kot tena 😀😀😀 usijali bhn we Fanya yko m.b n zko ujapewa n kiba mpaka uwackilize wale wanaokukataza kupost umu
 
Cheki ume ni kot tena 😀😀😀 usijali bhn we Fanya yko m.b n zko ujapewa n kiba mpaka uwackilize wale wanaokukataza kupost umu

😀😀😀😀 daaah ya leo sio ya jana :thumbup::thumbup:
 
Ha haa..
Sasa ndio usanii kaacha..alaf hammsapoti kwenye kampeni

ndo yupo huko anaonyeshwa mazingira ya wanyama na jinsi ya kuwalinda tukimkuta mtu na picha tu ya tembo jelaaa hatuna masihara mwakaa huu
 
hahahaha mkuu pwilo hapana, ila najaribu kumtafuta tu ili aje huku

sema mkuu kama unamiliki mtoto yule usijali mi nina mke na watoto tayari wakati wenu huu
 
Last edited by a moderator:
Daah m kwetu kjjn huku hata umeme bado hujafka... Hv cheketua bado inachezwa trace tv eeeh hv ishaingia ktk top ten mana daah naipenda sana heheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…