Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Dear friends, najuwa moderator ni binadamu pia wana mapungufu yao, ila naomba nitowe wito tujikite kwenye uzi na tuache kuwatolea lugha za maudhi moderator.
Uongozi wa JF unaelewa kinachoendelea hapa na kinachotakiwa ni kuheshimiana miongoni mwetu na kila kitu kitakuwa sawa.
Admins wako busy sana kipindi hiki lakini tumpe ushirikiano moderator nadhani amtoona tena uonevu uliokuwa unaonekana, mtu wangu wa nguvu Diva Beyonce punguza munkari kidogo naongea kwa herufi kubwa hapa.
Kama kuna mtu bado ana mtima anahisi haki bado haitendeki anione pm.
Take a note mkuu wa kaya anaipitia hii thread kwa comment ambazo si nzuri kwa mods naomba mvumilie mkiona zinaondolewa.