Labda mwisho wa dunia ushafika, watu hawajui kuwa its never too late, everything hapens for the right time, its his right time now, huyo anayesema kachelewa yeye ajitathmini amewahi nini hadi leo!!!
So kuchelewa kwa kiba ni kukosa ndumba na sasa kaipata au,tumia kichwa cha juu kutafakari jambo na si kichwa cha chini.kwahyo wote wasio kuwa na ndumba hawafanikiwi au