Ali Kiba Fans' Special Thread...

sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga

aya chekecha chekecha ×11

Mbona number one original ilitoboa trace yeneye au ushasahau Mara hii
 
Nimeskia video ya joh makin ya nusunusu imeshika namba moja mtv. Jamaa katoboa mwenyewe kimataifa bila kutegemea nigeria kama kina mwanafulani hapo tandale.

Tulitoka wenye coco kwanza then ikaja remix n davido tena kipindi ichi trace ilikuwa ufaransa hawakuwa n office Nigeria km sasa ivi
 
Attachments

  • 1436121260467.jpg
    34 KB · Views: 78
  • 1436121302823.jpg
    43.6 KB · Views: 79
sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga

aya chekecha chekecha ×11

Kipindi icho trace ilikuwa France sio sasa ivi kuna brach Nigeria ilikuwa video ya nne from tz kuchezwa
 
sio mara ya kwanza kazoea ila mpotezee tu si umeona katulia hamna mtu aliye mjibu hata kiba katoboa mwenyewe trace sio mpaka collabo ndo wanaipiga

aya chekecha chekecha ×11

Asante kwa muongozo
 
Kilaza yeye na ukoo wake.
 
We naye unapoteaaa!!

Nakwambiia!
Nimebanwa ila lazima nipite hapa.
Nkiwaona vibwengo kama huyu nashindwa kujizuia.
Jana mlimshambulia mtu mpaka nikawaogopa😀😀😀:thumbup:
 
Nakwambiia!
Nimebanwa ila lazima nipite hapa.
Nkiwaona vibwengo kama huyu nashindwa kujizuia.
Jana mlimshambulia mtu mpaka nikawaogopa😀😀😀:thumbup:

Hawa dada zetu tushawazoea, hamna namna nyingine zaidi ya kuwavumilia tu, tutawafanyaje sasa na walichagua vilaza wazoefu wawe wanakuja kutuchafulia uzi.
 
naona unatafuta kiki we boya

Msamehe, ndio kwanzaaaa post zenyewe anazo sijui 2 humu, so anatafuta umaarufu, potezea tu, si unajua wamesombana toka insta waje wafanye wht they can do beta!!

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaa
 
Msamehe, ndio kwanzaaaa post zenyewe anazo sijui 2 humu, so anatafuta umaarufu, potezea tu, si unajua wamesombana toka insta waje wafanye wht they can do beta!!

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaa

kaanzisha uzi halafu anajibu mwenyewe hajielewi kabisa.

tucheketua tu. #kingkiba
 
kuna watu ni vichwa nazi sana.

chekecha chekecha cheketua

Aaaah kwa raha zetu kwa taabu zao.
Twacheketua tu kwa raha zetu, nasikiliza "nichum", i love this song jamani, long time kitambo yaani.
 
Aaaah kwa raha zetu kwa taabu zao.
Twacheketua tu kwa raha zetu, nasikiliza "nichum", i love this song jamani, long time kitambo yaani.

nyimbo hazichuji kabisa kuna ule wimbo unaitwa mdogo wangu kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…