Whats wrong with u.? Watoto hamjanywa chai bado.
mi hata sijui jinsia yake ila kama dume 0713 inahusika kama romy jons
Nimeiona sehemu kumbe bado anabamba Huyu mwana
unasema ni nani? kumbe data
ila jamaa hata akiwa no 1 clouds anapost ila kiba mi nawaambiwa huyu jamaa mkimyaaa saana hata bella alivyopost ile collabo alimind yani hataki exposure
Ndio huyo huyo data .
Unazani kwa nini ajajileta leta huku itakuwa ana wataka nyie mumpe huduma.
Si mumwambie tuu jaman kuwa nyie hamzani topeni?
Mwambieni bhanaa maana anavyojishaua apa mapozi mengi ili awanase tuu
Kamekomaa hako ata ukienda 0713 utaumia tuu.
Kakwende zake hapa hamna wateja
wewe huo urafiki na huyo gasho umeanza lini ??
😀😀😀😀😀😀😀😀 ww killed it hivi unajua king ni hataree juzi kenya kachafua halafu anaproject ya wild aid ambassador inabidi akutane na beckam prince william itakuwa balaa lupita nyonga tayari washakutana bado haoo wengine xo get prepared for it
sasa c aende kwenye uzi wa domo akajiuze kule sasa anakuja huku au kule wote ni magasho kama yeye kama vp tuchangamkie fursa hiyoo au vp cute b
kiba anafanya mambo kimya kimya sababu anajua anachofanya
kiba anafanya mambo kimya kimya sababu anajua anachofanya
Hahahaaa si wa kike mwenzanguu
Kati ya wanaume jf waliopewa jinsia ya kiume kwa kuonewa au bahati mbaya ni data yaan huyu angetakiwa awe wa kike yaan tena lishushushu.
Hakika mbegu iliharibika.
Heheheeee shost data mambo?
Hapana ana maradhi huyo data utaugua bureee
sasa mwana ina mwaka lakini bado inahit kenya na uganda