yani nasema hivi hili bifu haliwezi kuisha daimaa nakumbuka hata zito kabwe alishindwa kuwapatanisha kwenye kigoma all star sasa who can ruge hawezi mpaka ye mwenyewe apatane na jide kwanza ndo awapatanishe domo na kiba
Kidingi uwe na usiku mwema mkuu
Nangojea mechi SAA 8:30 copa america
Argentina all the way
Iyo kesho SAA 4 Leo mshindi wa 3 n4
sawa endelea na moyo uo uo mpaka kwenye show za wcb
pwilo usiku mwema ndugu yangu.sawa endelea na moyo uo uo mpaka kwenye show za wcb
Ati na usimpotezee wakati cute b kwa kumwambia shudu kama hizo.Muda mwingi sana mazee tulikaa kimya hapa tukawa tunachat wenyewe kuepuka ugomvi na kelele ziso tija....hawakuona ule wakati ivo wakajaribu kumake peace? Si walikuwa wanahorojoka hawa kuwa tumewaogopa sijui tumewakimbia.....leo one love inatoka wapi? Unless mkutane kwengine sio kwa Kibatatizo nyie mnaboa kama vipi ongea na wenzako wawe na heshima walimtukana ndo maana wenzako xo waambie wapunguze matusi na cc ni binadamu one love cute b i will tell her
Dia nashukuru umeliona hilo. Iyo peac wanayoiongelea sijui ni ya nchi gani. Kwa mfano tangu juzi wana ni quote shombo siwajibu wakaona nimekuwa sugu wakaanza kuni mention ni uchokozi tuuu huo. Na kuna lingine kwenye uzi flan humu "unataman kutoka na nani humu jf" likanimention "eti cute b napenda sana maneno yake" .na wakati linanisemaga kila kona kuwa mimi ni chokoraa nina tatizo kwenye malezi alafu kule anajisemesha tuu kuona nitasemaje.Ati na usimpotezee wakati cute b kwa kumwambia shudu kama hizo.Muda mwingi sana mazee tulikaa kimya hapa tukawa tunachat wenyewe kuepuka ugomvi na kelele ziso tija....hawakuona ule wakati ivo wakajaribu kumake peace? Si walikuwa wanahorojoka hawa kuwa tumewaogopa sijui tumewakimbia.....leo one love inatoka wapi? Unless mkutane kwengine sio kwa Kiba
Dia nashukuru umeliona hilo. Iyo peac wanayoiongelea sijui ni ya nchi gani. Kwa mfano tangu juzi wana ni quote shombo siwajibu wakaona nimekuwa sugu wakaanza kuni mention ni uchokozi tuuu huo. Na kuna lingine kwenye uzi flan humu "unataman kutoka na nani humu jf" likanimention "eti cute b napenda sana maneno yake" .na wakati linanisemaga kila kona kuwa mimi ni chokoraa nina tatizo kwenye malezi alafu kule anajisemesha tuu kuona nitasemaje.
Nilicho gundua hawa watu sio ushabiki tuu na unafik na chuki binafsi wanazo bila haya li jitu likikukuta kwenye nyuzi nyingine yanaendeleza ushabiki basi tuu kwa ajili anajua wew ni team flan.
Hamna cha one love wala two love huyo ni mnafiki tuu na kusema kweli NAMCHUKIA KWAMA IBILISI YAAN NIKIKUTA ATA ANALIWA NA FISI NITAMSAIDIA KUMPAKA MAFUTA ILI ALIWE VIZURI.
salama kabisa cute b
Kuna baridi jamani duu adi kero yaan
kibaridi kipo. umevaa sweta?
Nimevaa mkuu ila sasa la sare za kazini ni vyepesi haswa na haturuhusiw kuvaa ya nyumban.
Vip ulimwangalia king jana? Mimi sikulipia kng'amuzi so sijui ata aliongea nini
Ati na usimpotezee wakati cute b kwa kumwambia shudu kama hizo.Muda mwingi sana mazee tulikaa kimya hapa tukawa tunachat wenyewe kuepuka ugomvi na kelele ziso tija....hawakuona ule wakati ivo wakajaribu kumake peace? Si walikuwa wanahorojoka hawa kuwa tumewaogopa sijui tumewakimbia.....leo one love inatoka wapi? Unless mkutane kwengine sio kwa Kiba