Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kidingi what do u mean ??? ur aim for this post tell us ?? #alikiba
 
Last edited by a moderator:

Huyu sio teamkiba

Au ulitumia criteria gani kumuweka kwenye kundi la teamkiba

Then unaandika vitu ili ulete Amani alafu unaweka sambamba na picha yenye kusabbsha mfarakano

Mkuu acha kuchosha vidole vyako na kupoteza mda wako acha watu wapende wanavyovipnda
Wakipata stress ni wao
Wakionekana c chochote ni wao
Wakionekana ndorobo ni wao

Au ww inakuuma nini Abou nikipata stress kisa naupnda mziki Wa Kiba?
Tumia akili yako vizuri kijana
 
Last edited by a moderator:

Yani hii comment yako imenifurahisha kwenye sehemu ya #LetLoveLeadsInOurLives . Love is everything, inaondoa kila chuki na kila ovu.
Hyo shabiki ni timu domo asijishaue bure nakwambia anayejielewa hawezi kujishaua HVO.
Sawa kidela #LetLoveLeadsInEverything .
 
Last edited by a moderator:
She shud hv said, ni nini anataka ajifunze kwanza, na km anaona hakuna cha kujifunza si basi apite vileeeee, kwani kashikiwa mtutu.

Aisee nimekumbuka i sent u pm nikakuta geti ila wory out problem allready solved.

Kama aliona hamna cha kujifunza angeufyata apite kimya kimya Mpaka sehemu inayo mfaa.
 

Kuwa mtu mzima sio adi vu.zi lihamie kwenye paji la uso.
Jitambue acha utoto.
Usiwe una nimention popote.
NAKUCHUKIA KULIKO ATA SHETANI. SIKUPENDI KAMA KONOKONO.
jua ilo tangu leo na usini mention popote unanitia kichefu chefu tuu.
Ni hayo tuu
 
Last edited by a moderator:
sio no 1 lakini ila najua sio kweli ile kampita hadi davido ok congratulation for him#teamkiba

Duuh Leo umeunga mkono hoja eeh Leo ijumaa sabato imeanza we n msabato nn😀😀😀
 

yani nasema hivi hili bifu haliwezi kuisha daimaa nakumbuka hata zito kabwe alishindwa kuwapatanisha kwenye kigoma all star sasa who can ruge hawezi mpaka ye mwenyewe apatane na jide kwanza ndo awapatanishe domo na kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…