hao wanaochangia ujinga wote ni team diamond team kiba hatupo toka asubuhi ndo tumeanza kujadili sasa hivi nakama huna cha kujifunza nenda kwenye uzi wa domo ukajifunze kule we mwenyewe team domo hfu unajifanya huna team
Nadhani kijibamia kina mtekenya si bure mijitu mingine buaaaana. Eti tubadilike yeye ni nani wa kutupangia masharti yake ya kiganga apeleke kwake. Atutoleee kengele zake kwenye Uzi wa kiba. Anaushauri aende angaza.
cut b katika ubora wake haya lets go ila yule c dhani kama atarudi tena ila jamani kiba anapendwa saaanaaa yani cheketua video ilivyotoka cc tumeijadili hapahapa ila wao mpaka wameweka link humu mbona hatukuwaekea link wala kuwasumbua kwenye uzi wao et Th NameDiva Beyonceatoto shida nn hawa jamaa?????