Hawawezi kujadili wenyewe mana wanashindana plasi kujitoa ufahamu. Ni vzuri wawe wanajadili wenyewe sie mahater tuwaache walifikiri na sie tutaanza kuponda kimakusudi ka wao kwa kiba poleee zao.
unawajua hawa Diva Beyonce atoto
Nimegundua humu ndani watu wanakesha kwenye huu uzi na hakuna cha maana wanachoandika tofaut na kule upande wa pili at least unawezajifinza kitu......Badiliken jaman wengine hatuna team tunaingia ili kujifunza kutokana na comments zenu.....Nampa gwala Abou Seydou anaandika vitu ambavyo ukivipitia hutok kapa.
Ni hayo tu jamani msijenge chuki ni mtizamo wangu tu.

unatakiwa uwaambie upande wa pili wanakuja kwenye uzi kuleta unafiki wao. wamejaa ujinga kichwani.
Sasa kama umeona hivyo si wewe ungeandika hivyo vya kujifunza?? Ulitaka ujifunze nini labda? Daaaah!!
Hata tukikesha we we inakuhusu nini bundle zetu na mda wetu ndo tunaupoteza we we unawashwia nini sasa.
We we unayeandika ya maana mbona umeleta kwato zako ka za nyumbu kwenye uu Uzi.
Uwe na timu usiwe nayo sie yatuhusu nini. Nyie timu chai jaba ndo hujifanya hamna timu.#HuoNiUpashkunaNaUng 'amaaa.
Kwendraaaa huko ukome kupita unataka kujifunza nenda jukwaa la great thinkers, jukwaa la elumu, jf doctors huku ni celebrity.
Mie nina muda wa kucheketua tu na sio wa upashukuna, so kisichonihusu mtu asinihusishe nacho kabisa.
Huyo ni mpashkuna tu ka wapashkuna wenzie tu kujidai hana timu. Yeye si ndo angeanza sasa kuandika yenye akili. Ana diss still anafatilia. Nungaembe kubwa hili. Empty set and empty mind.
Read btn lines my dear utajua tu nini alikitaka, hujamsoma tu??
kiba wakuache miaka 8000000000000000000000000
Very true mambo yasiyokuhusu kushadadia ni upashkuna tu na kisorokonyololo kikiwa kinawasha. Sasa huku hakuna wapambe nuksi.
#LetMeKeepMyBusinessAndCheketuaring .
#ChekechaCheketuaCheketuaring .
nimeshamsoma huyu ni mnafiki kama wale wengine. team mondi hana lolote. pumbavu zake kabisa
Habari za mda huu wapendwa
Usiwe una ni mention kwenye ushenzi
Goodnight