Majirani sio mbaya mkaburudika na hii mchana mwema. Msosi na ndimu pembeni kama huna appetite. Ushauri tu
Watch "Kcee - Love Boat (Official Video) ft. Diamond Pla " on YouTube - Kcee - Love Boat (Official Video) ft. Diamond Pla : https://youtu.be/-RBywChlfdc
Bonge moja la kichupa uyo chibu sasa anavotaka sifa
Jishaueeee
Mwache bwana unataka akose mwana na maji ya moto?? Atamalizia wapi sasa stress zake
hawa watu kama wamefiwa vile wanyooongeeee!!!!
Jirani tumewaachia uwanja mfanye wht you guys can do beta (fujo) sasa mbona unatuita tena? Vp mmechoka ama? Au mmefungiwa kuingia kwenye zile ac mnazovamiaga?
Jirani uwanja wako jimwageeeeee ukichoka kakojoe ulale, sawa jirani mpendwa!!
well sio poa namna mambo yanaenda ndio maana umeitwa utoe maoni yako unaonaje ikifanyika remix pale, vi bifu na mashindano yasiyo na msingi yaachwe tuwe wote team kibamond... Au mnafurahi kuona diamond na vanessa kutuwakilisha pekeyao wakati kuna majembe ya kutosha Tz...
Au nyi mnamtaka wizkid??
Jirani tumewaachia uwanja mfanye wht you guys can do beta (fujo) sasa mbona unatuita tena? Vp mmechoka ama? Au mmefungiwa kuingia kwenye zile ac mnazovamiaga?
Jirani uwanja wako jimwageeeeee ukichoka kakojoe ulale, sawa jirani mpendwa!!
We unaonaje jirani? Hebu jadilini mtatupa mrejesho, sawa jirani.
Alafu kwani tz wanamuziki ni kiba, ndomo na vanessa tu??? Hebu dilini na hao wengine kwanza if yo realy serious, am done.
Hahaaaaa kumbe wanashindana na kukimbizana kwenye nyuzi. Mweeeh pole yao aiseee sie malumbano ya kijinga hatuna wacha wajimwaye. Kuliko kujibizana ka watoto wanaoringishiana JoJo.
unawajua hawa Diva Beyonce atoto
Hahaaaaa kumbe wanashindana na kukimbizana kwenye nyuzi. Mweeeh pole yao aiseee sie malumbano ya kijinga hatuna wacha wajimwaye. Kuliko kujibizana ka watoto wanaoringishiana JoJo.