Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
c umeona huyo kilimbamula kaja na wenge lake hakuna aliemjibu kasepa ndo inavyotakiwa tungemjibu angepata kichwa #tuwapotezeeeni
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.
hili zee nafiki sana mara kiba mara diamond kama gasho
Diva Beyonce usiku mwema kesho pia ni siku nisalimie atoto na nifah najua upo karibu naoHahaaaa ana vtuko kweli huyu baba sijui alikua ana maanisha . Haeleweki huyu anachocheaga sana mambo.
ni kweli c hata ile nyimbo aliyoimba na r kelly kathibitisha hilo kaflow mbaya kizungu #KINGKIBA
Tabia ya kupandana kichwani kisoro soro haivumiliki kabisa ka pichu kuzoea ...... Inapobidi lazma niseme sio jitu from nowhere linaniparamiaa tyuuuu.
Huyo jamaa ndo zake kuparamia hukua hata nakosa mwayego.
Teh teh teh King zaa as long as you can tena wanao wazuri balaa. Usio ka wale wanaoshikwa masikio na kua baba walezi huku mayai yote wakilia chips.
Hahaaaa haloo ya baba mlezi a.k.a mshika pembe
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.
hili zee nafiki sana mara kiba mara diamond kama gasho
Ucku mwema tukumbuke kusali trace Africa 10 nambo moja dangote
Ucku mwema tukumbuke kusali trace Africa 10 nambo moja dangote