Uthinithingidhie bwana, utukutu wangu nini sasa?
Uthinithingidhie bwana, utukutu wangu nini sasa?
sasa unabishana na mashabiki ambao wanawatukuza mburulaz kama huyu angalia alivyoandika insta
Diva Beyonce na atoto mpo nyie watukutu wawili
Mweeeeeh!!! Kwani kaacha ile tabia!!
Usijali sitobishana na viazi tenaaaa!!! Am sory kwa kukukwaza!
Hapana buaaaaana sio kabisa nilikua nanyoosha mu stari mana ulipinda. Ili kuweka clear mazoea yakizidi ni hatari.
Hapana buaaaaana sio kabisa nilikua nanyoosha mu stari mana ulipinda. Ili kuweka clear mazoea yakizidi ni hatari.
haahaaa mazigazi anatukana kama ana laana huyo hawezi kuacha hiyo ndo kazi inayomuingizia kipato au anakazi gani nyingine
yah hapo sawa ila we nimekukuta hukooo unalumbana nao Diva Beyonce atoto
Kuna muda yanataka kutupanda kichwani ati, so tunayaweka sawa, alafu mimi ndio wanikomeeee tena kunishobokea, kama mtu ana shida aje amalize sio kunichokonoa privately, nyambaaafuuuu.
Atoe wapi kazi!! Kumbe ni kawaida yake!! Binti ana shobo za kishamba yule sijapata kuona!!
Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa
tatizo wao hawajui kutetea zaidi yamatusi et wameanzisha thread ya kwa nn kiba hamfollow mtu insta na ww nikakuona unagawa dozi Diva Beyonce sasa tulia kambini usitoroke tena
Wapi tena huko. Hivi huyo rommy kwani hufanya ile biashara ya u kameroon mbona anajitangaza.
kwani ulikuwa hujui kama anatoa 0713 mbona zamani tuu cjui mdogo wake anavyojibenuabenua
nimekuona kulee kwenye uzi wanaomzungumzia kiba kwa nn hamfollow mtu
Kumbe sio riziki ndo mana anajipodoa na kutumia kitaulo.