Ali Kiba Fans' Special Thread...

Oooh kumbe upo!! Mbona umemchunia mwenzio jamani, sio vizuri ujue!!

#chekechavideovibes
 
Ulikuwa wapi princess jamani hadi watu wanataka kuzichukua nafasi yako hapa!!

Mwenzangu nilikua nacheketua si wajua ndio habare ya mjiniiii
Kweli naona leo umeamua.😛
 
Hahahaaa ndo basi tena masikini pole yake!

Eti mtu anajitetea na joining date wakati boguz kabisaaa, anadhani joining date ndio kitu gani?? Mie nilikuwa nawaheshimu watu waliojiunga jf muda mrefu maana wanajitambua, kumbe na mamluki wamo aisee!!
 
Yupi tena huyo? Mbona kama ni nyumba tayari inampangaji?

Hatuna uhaba Kiba fans, if the case ni partner i prefare Kiba fan lady to be my partner not otherwise.

Uwiiii utafanya mtu ajinyonge huko alipo, maana kakushobokea weeee ukamchunia jamani, acha anivalie njuga kisa nilisema mie secretary wako, sijui alikuwa anautaka huo usecretary!!!
 
Eti mtu anajitetea na joining date wakati boguz kabisaaa, anadhani joining date ndio kitu gani?? Mie nilikuwa nawaheshimu watu waliojiunga jf muda mrefu maana wanajitambua, kumbe na mamluki wamo aisee!!

Huyo ndo zako hata kwenye ..... Yake nyingine hujitetea na joining date. Kwanza haijalishi wote tu member
#ChekechaCheketuaCheketuaringInKibasVoice .
 
Uwiiii utafanya mtu ajinyonge huko alipo, maana kakushobokea weeee ukamchunia jamani, acha anivalie njuga kisa nilisema mie secretary wako, sijui alikuwa anautaka huo usecretary!!!

Fact hatuna uhaba in our Family here in Kiba Fans, i can propose here any single fan rather than Domos misukules.
 
Fact hatuna uhaba in our Family here in Kiba Fans, i can propose here any single fan rather than Domos misukules.

Ni bora umewapa taarifa maana wanajipitisha hao hatari!! Wamechinaje sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…