Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Utajuaje kama umelowana makalio kama mimi niliyenyuma yako sijakuambia? Pima akili zako kabla hujamwaga uharo.
Mmmh
Kwani alichoandika kinakuhusu?
HahahahaHahahaha povu lote hili kwa ajili ya chekechacheketua video.
Tatizo ni kwamba video tushatoa no way out wote twende tu YouTube mkuu wala usione haya.
#Rockstar4000presents
Tuko bizeeeeee tunacheketua tu yaani
HahahahaHahahaha povu lote hili kwa ajili ya chekechacheketua video.
Tatizo ni kwamba video tushatoa no way out wote twende tu YouTube mkuu wala usione haya.
#Rockstar4000presents
Uwiiiiiii!! Ujikute tu ukinunua, we sema biashara imehadoda fullstop!!!
Humu hamna mnunuaji binti, sawa eeeeh!! Haya kwaheri kajaribu kwingine bibie. Ndoroboooo!
Matola huyu binti ulimnyima nini mbona yuko obsessed na wewe hivi!!! Maana imemuuma kweli, kumbe wengi inawauma eeeh!! Kuvurugwa biashara inapododa kubayaaaa!!
Hahaaa biashara imekua ngumu mno aisee inafanya watu wawe na stress. Don't waste ua time with stressed people.
Wao wenyewe hawajielewi how do you think watakurlewa?
Yaani wamevurugwa hatari!!! Wanajipitisha tu humu sijui wanatafuta nini, au wameambiwa kuna mnunuaji nn!!! Sengine wanajiandika wanayoyafanya kwenye maisha yao ya kawaida, hahahaaaaa kuvurugwa kubabayaaaa!!
Hayaaaa chekecha cheketuaaaa
Aisee
Same old shit!
KIBA OYEEE THEY ARE: DANCING YOUR SONG!
Hahaaa chezea stress na kutokujiamini wewe yani idadi ya wanaume inapungua sasa.
Ni video tu inampanikisha jitu zima na kujiropokesha hovyo hovyo. Hata kujiamini tu ni tatizo vilaza wengine bwana ni janga.
Ala let me keep cheketuaring (#Kibasvoice.
#BeARealManAndBelieveYourself .
Nishamuacha huyo dada maana naona biashara kumdodea huko alikokutaja sijui wapi stress zake kaja kumalizia humu ndani!!!
Hayaaa chekecha cheketuaaaaa kwa raha zetu, stress tupa kuleeeeee
Watu kama hao huwa wanachekesha sana, mikwala miiingi alafu hana lolote la maana heheh! Ila ipo siku ataipenda tu mwache ajichetue tu!Yaani huyu binti kavurugwa sio utani!!! Anajipitisha tuuu kapewa za uso ila yumo tuuuu!!
Yaani wengine wanajitia aibu tu kujiita wanaume hapa maana inaonyesha ni jinsi gani walivyo haramu.
Kiba anawafanya watu vibayaaa hadi wanasahau jinsia zao, teh teh teh
Hayaaa chekecha cheketuaaaaa
Mbwa ukimjua jina hakusumbui kamwe wala hakubwekei ka jibwa koko silence is the best answer my dia. Huyo ndo zake kwa vile kazoea Ku sell anafikiria kila mtu ni cheap slu.t
Hii chekecha imeleta mambo hili povu linazidi Indian ocean yani ka Tsunami.
Watu kama hao huwa wanachekesha sana, mikwala miiingi alafu hana lolote la maana heheh! Ila ipo siku ataipenda tu mwache ajichetue tu!
Hahahaaaa kavurugwa hatari aniongeze kwenye list yake ya anaowachukia baada ya nifah, yaani hili balaa lote kalileta Matola maana ndio alikuwa anammendea humu sasa akaona nambania acha acharukeee!!! Hahahaaaa yaani nimecheka leo anadhani kanipata kumbe walaaa mie namuona zoba tu!!
Hahaaaa Jide hakukoseaga kuimba ule wimbo wa #WanaumeKaMabinti aisee kila siku wanapungua tu, kwa kuzoea mambo ya kike kike.
Mwanaume gani hujiamini. Wanaume kamili wote hawa andiki pumba wanatafta mpunga hawa machoko sasa daily kushindana na wanawake inabidi bikini ziongezwe aisee mana demand inaongeza.
Halooooooo ya chekecha cheketuaaaaaaaaa, Kiba ume rock as usual.