mie sijawahi hata kuiona yote mara nyingi naikuta kati tuu..!!
sina mda mchafu wa kuangalia utumbo ule!
washabiki wa daimond wana roho flani hv mbaya waulize video ya nana joti yupo,au hata ronaldo?
kucheza cheza km komborela ndo video kua bora
hawa lengo lao ni kudiscourage ili watu wasiiangalie na viewers wawe wachache u tube thats it...!!!
Ndoooooorobbbboooo wewe!!
Eti hamkubali alafu yupo kwenye uzi wa fans wake, kwani kichwa cha uzi kimeandikwa kwa lugha gani maana hawa brn sijui shida yao nini!!
Haya chekecha cheketuaaaaaa
Mkuu Matola wewe umesema kwamba una- fahamu wa video and movie making na wewe ni professional katika hiyo nyanja .
Kama professional unaweza kutuambia ni kasoro ( rotten tomatoes) zipi uliziona katika Hiyo video ya alikiba ya chekecha kwa sababu Mimi naamini kila kilichotengenezwa kwa mikono ya mwanadamu kina kasoro( isipokua MUNGU tu).
Hebu tuambie
Mkuu Matola wewe umesema kwamba una- fahamu wa video and movie making na wewe ni professional katika hiyo nyanja .
Kama professional unaweza kutuambia ni kasoro ( rotten tomatoes) zipi uliziona katika Hiyo video ya alikiba ya chekecha kwa sababu Mimi naamini kila kilichotengenezwa kwa mikono ya mwanadamu kina kasoro( isipokua MUNGU tu).
Hebu tuambie
Mie mpaka leo nilikuwa nasubiri wafungue uzi waniambie ngololo na sankoro ni nini na kwenye video ilikuwa wapi nashangaa cjawaona, wanakazana tu kumuona king akiwa nyang'anyang'a, mxiiiuuuuuuu!! In bi chauz voice
nimeingia kwenye page ya cocay cola ambapo kiba atakuwa live akijibu maswali... ndio post yenye comments na likes nyingi zaidi ktk page yao....afu wakija huku wanaponda akati wanamfuatilia chochote anachofanya.. nendeni fb mkaone page ya coca cola
Hahahaha ila kajitutumua maana inahitaji moyo wa jiwe kudiss hii video, hili songi jaman linabamba haliishi utam hasa likipigwa kwenye vyombo vya uhakika. Halaf sikujua kuwa kiba ana dimpoz dah, wadada wanafaudu jamani hatareeeeee
Ukishayajua hayo mapungufu yatakusaidia nini labda?? Katoe kwanza mapungufu kuleeee alafu upigie mstari. Mfyuuuuu mnaonaga mapungufu ya Kiba tu nyie watu, hata lenye zuri bado mnachokonoa mapungufu!!!
Usijali mie ni secretary wa Matola
hawana majibu na hawatopata majibu ila kwa kua amefanya daimond ni sahihi but kafanya kiba ni vibaya wanataka nyang'anyang'a na chekecha ziwepo
hawa watu daahhhh....!!vilaza hatariii!!
Ukishayajua hayo mapungufu yatakusaidia nini labda?? Katoe kwanza mapungufu kuleeee alafu upigie mstari. Mfyuuuuu mnaonaga mapungufu ya Kiba tu nyie watu, hata lenye zuri bado mnachokonoa mapungufu!!!
Usijali mie ni secretary wa Matola
Ha ha ha Matola unaongea nini wewe? Ustake kutetea vitu vya ajabu ajabu kubalini ukweli ile video ali k kaichemka.
anyway inaweza isiwe kosa lake moja kwa moja but ni kosa la director kw sabab yaweza kua kiba alitoa idea nzuri ya video ila director kashindwa kumeet vile viwango vya hiyo idea.
kosa kubwa pia la Kiba labda ni kupokea video na kurealease hata km video haku ipenda hpa ieleweke kwamba sina uhakika km kweli Kiba haku penda ubra wa video.
kama kweli alikua anataka video iwe na materials za kizamani ni sawa kabisa but kwa nini yeye avae suti /mavazi za kisasa? (suti,kofia,jinzi,raba,moka sweta,miwani nk) vyote vile havi muonyeshi katika hali ya uzamani.
kama ni kutaka mandhari ya kizamani cheki video ya "H-art the band wimbo wa nikikutazama" very simple video but ina vutia kuiangalia sana tena sana na ina muonekano bora wa kizamani zamani.
Tukubali ukweli cheketua kachemka labda yaweza kua director kamuangusha ila katika kumbukumbu yangu Kiba hajawahi kufanya video kali hata mwaka mmoja.labda ya mwana kidooogoooo.
Huwez amini nmekuelewa sana mkuu na npo pamoja nawe coz kama nia ilkuwa n kuleta vionjo vya uzaman y yy avae usasa?
U have freedom of speech but freedom after speech that I can't guarantee u.
Sihitaji majibu yenye harufu ya shombo .better shut up ur " domochoo"
Nimeuliza swali linalohitaji professional judgements sio maneno ya kanga.
So far mind your own biznes u pathetic little worm.
# ukijamotonakurudishabaridiii.
Ova and out.