Ali Kiba Fans' Special Thread...

hii video blaza aangeishoot Bongo tuu

Meza viwembe kama umekereka, bahati nzuri Team Kiba tupo wataalam wa haya mambo, kwenye film industry hakuna wa kunidanganya kitu, nimebadilisha kazi tu ujuzi haufi na sijawahi kufanya kazi hii Bongo hata siku moja. Hudanganyi mtu hapa.
 

Unajua hii video u simple wake nilivoupenda nikitumia hayo materials ya mda mrefu ka hyo redio nakumbuka nikiwa mdogo walikua wanaita redio mkulima hayo magari ya zamani. In short nimeipenda sana kumbe kuya kodi ndo expensive hivo hizo assets za miaka ya nyuma.
Hata aliyetoa tu idea ya video ni kichwa pamoja na mazingira wengi hawaelewi themes nzima ya video wamezoea kufikiri video nzuri lazma iwe na wazungu,magorofa na lambojini.
 

Hahahaha wenzio mtaa wa pili bila kuona ferari au hammer basi lazima waseme video mbaya
 
atoto umesikia saut sol wameomba collabo kwa kibaa cc hatutegemei nigeria

Watu weweeeeeeee, hizi sasa ndizo colabo, yaani mafundi wanapokutana, sio waongeaji wa kwenye beat wanapokutana, aiiiii ngoja niendelee kucheketua miee
 
Last edited by a moderator:

Nimeshafanya shooting South Africa, sipendi kujiexpose ila amini ninachokiandika kuipata redio kama hiyo na vitu vya zamani unawrza kudrive one hour ndio unafika kwenye miji midogo ya nje ndio unamkuta mzungu nyumbani kwake ana item zote za zamani na anaishi kwa kazi hiyo ya kukofisha vitu.

Kwa mji kama Cape Town ambao ndio film industry City kwa South Africa hao wazungu wakodishaji unawapata sehemu inaitwa Summer set West na George.
 
ngoja nikudokeze collabo ya bella na kiba inatoka eid na video yake halafu sasa chrisbrown

Weeeee kumbe kitu cha chriss ni kweli, Mungu wangu weeee sasa si king atafanya watu waimbe mdundiko, yaani tutazika watu mwaka huu ngoja niwaage mapemaaaaa, RIP haters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…