Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mijadala kila kona wenye kusifu na kuponda hata huko you tube watu wanapeana nakozz tu, haha yessss big up kiba, hamna msanii aliyewahi kubreak the internet hapa bongo kupitia video yake kama ilivyotokea hii leo. Fanya kazi kijana, slowly but sure, usikurupuke kwa sababu tu unataka sifa.
 

Hadi wasanii wenzie wanamuonea wivu wengine kuongea shit, hahahaaaa Kiba nakupenda jamani, all the atention ni kwa King of the best melody tu, acha waponde maana nazo ni sifa ati!!
 
Hadi wasanii wenzie wanamuonea wivu wengine kuongea shit, hahahaaaa Kiba nakupenda jamani, all the atention ni kwa King of the best melody tu, acha waponde maana nazo ni sifa ati!!

Sanaaa hawa watu ilibidi tuwape semina ya kumanage expectations hahhaah mana wasijetufia bureeee
 

Attachments

  • 1435686842481.jpg
    45 KB · Views: 73
  • 1435686871932.jpg
    37.5 KB · Views: 71
  • 1435686897065.jpg
    39.3 KB · Views: 63
Last edited by a moderator:
Si bora hata hao majirani tushawazoea.....sasa hawa mods ndo tuwadefine vipi kwa kutufutia comments zetu zisizo na hatia?!!

Ati wanaudhi sana aisee!

mi nshawazoea hao hata hao mods sijui mood wana double standards yaweza kua nao ni team pinzani maana wako bias mi wanipe tu ban...habari sipatiii
 
Mimi kumuona nifah tu hapa roho yangu kwatu
 
Last edited by a moderator:
Jiheshimu bas kijana.

unajiskiaje labda kuja kwenye uzi wa mtu mwingine kwa kusudi la kuanzisha vurugu lengo lako ni nini hasa kaka?

uzi ufungwe?
watu wapigwe ban?
au comments zifutwe?hakuna kitu kizuri km ustaarabu hukatazwi kuchangia kwenye nyuzi yoyote ila tafadhali jiheshimu bass
mana wengine tukianza mziki wetu hapaaaa...hamchelewi kuingiza wazazi wetu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…