Upo serious n jamii forum:what: jifunze kwanza kuwa serious n maisha yko hustle for the paper boy hapa tupo just for fun don't panic we just started don't panic
Yaah kwanzia leo no ban kwangu yaani.
KWANZIA LEO NA WA CHUKI MSIKIE KABISA. SITA QUOTE TEAM NDOMO ATA ANIKASHIFU NITAJIFANYA MJINGA. SINTOKAAAAA.
JIBU LA MJINGA NI KIMYA TUU.
asante atoto
Uko for fun??? Kuna magemu ya watoto kibao huko nenda kacheze na watoto wenzio unasema fun wakati sisi tunajadili kazi za mfalme na pia tumechangia kiba kupata tuzo ambazo mpaka leo zimewafanya mkimbie nchi na kwenda kuomba hifadhi south, huo ufun kacheze huko kwenye page ya domo special thread
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?
Uko for fun??? Kuna magemu ya watoto kibao huko nenda kacheze na watoto wenzio unasema fun wakati sisi tunajadili kazi za mfalme na pia tumechangia kiba kupata tuzo ambazo mpaka leo zimewafanya mkimbie nchi na kwenda kuomba hifadhi south, huo ufun kacheze huko kwenye page ya domo special thread
Bora akachekechue tu huko na aache makusudi yake ya Ku delete comments.
Mie nachekechua zangu kwa raha zangu.
nifah ungestick tu to ur promise.
Kwamba ungerudi hapa baada ya mfungo.
Kinyume na hapo utakuwa wajishindisha njaa tu.
SORRY.
Avemaria na wengineo mnaompenda WizKid burudikeni na wimbo wa Wiz Ojuelebga...uwiiiiii naupenda huu wimbo hadi naumwa.
Yaani mi nazidi kupata hasira tu!
Sijatukana wanafuta comment sasa why nisitukane ijulikane moja??!!! Aaargh
Hahahaaaaaa!! Si unajua ndiko anakomalizia stress zake njiwa wakigoma kuuzika! Sasa anaona hapa wote wauza njiwa wenzie, bahati mbaya hata mnunuzi pia hakuna!! Khaaa Kiba taratibu jamani utapoteza watu.
Namhurumia ndomo kuwa na shabiki andazi kama kende a.k.a kendrick, yani huo ufun anaosema ndio uliwafanya wakose tuzo ktma ila baada ya king kiba kuchukua chake, oh maweeeeeeee wameshtuka sasa wameanza kuweka mapromo na kupiga kura ili kuprove tu kuwa wapo alive hahahahahaha!!! Ndomo anataman huu uzi ungekuwa wake lakin ndo hivyo sisi tupo kwa king, ama nene.
Hajaja kwa shari, kaja kusherehekea kazi halali ya kijana anayejituma king kiba, usipagawe sana mzee hiyo video ishakuchanganya unataka ongezea na mengine tena???
Halikuwa kusudio la mode kufuta coments ila ndio ilikuwa easiest way ili awahi kucheketua bwana, chezea video of the year kutoka kwa King of the best melodies!!
#cheketuavideovibes
Hahaaaaaa!! Yaani natamani niwatibue nyongo waniondoe milele ila ndio vile tena, washukuru tu mapenzi niliyonayo kwa king maana hayana mfano, mafiiiii yao mara elfu kumi.
Hahahaaaa! Hii yamini mama nayo ngumu kuikeep ujue, haya majitu ni vimeo hatari.
Namhurumia ndomo kuwa na shabiki andazi kama kende a.k.a kendrick, yani huo ufun anaosema ndio uliwafanya wakose tuzo ktma ila baada ya king kiba kuchukua chake, oh maweeeeeeee wameshtuka sasa wameanza kuweka mapromo na kupiga kura ili kuprove tu kuwa wapo alive hahahahahaha!!! Ndomo anataman huu uzi ungekuwa wake lakin ndo hivyo sisi tupo kwa king, ama nene.
only in 12 hours