Sawa nifah sifanyi ivyo tena navaa miwani ya mbao.
Nakupendaga pia dear nampenda pia kiba...yaan adi nachukia mtu akimkashifu.
Naanza kuchukua mazoez mamy atoto na Ms.Lincoln washanikataza na wew pia leo na kaka zangu kibao humu ndani The Name, pwilo peterchoka.
Ivo basi kwanzia leo nipo kwenye mafunzo ya kuji control dear ukirudi unanikuta nishazoea.
no kuna wakati sio wa utani kedrick so inabidi uwe mpole utanipa ban bureee sasa unasema video mbovu kila wakati unarudia kitu hicho hicho now im serious
bumbum sio nyimbo hata we mwenyewe unajua ila ushabiki maandazi tu
Hahahahaaa ujue nimekabwa na hii video kidogo nife nikasema cha kufia nini? Ndio ikabidi niingie maana sio kwa raha hizi za King kwakweli.
Ok dear...uwiiiiii naona mnazidi kaniweka huku tu.
Moderator yupo youtube anacheketua, yaani chekecha imemchanganya hata hajui kipi cha kufanya hivyo akaamua afute tu comments fasta ajirudie youtube akacheketue, aii nani hapendi kucheketua na video of the year, ngoja nami nikacheketue kidogo.
😀😀😀😀 basi diamond n tariji n yeye bet ndo wanafanyaga ivo nyimbo ikichezwa unalipwa sio trace
Upo serious n jamii forum:what: jifunze kwanza kuwa serious n maisha yko hustle for the paper boy hapa tupo just for fun don't panic we just started don't panic
Weeeeeeee suala la kiba lipo serious hii ni kazi yake bana, yeyote anayeweka kigingi tunamndorobo tu
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?

sawa mrembo utaelewa tu
mbona ule uzi wanaosema kiba kafukuzwa hawafuti coment
ahaa kama haupo sirous kwa nn unapoteza mda wako humu ngoja nikuache hujielewi www
nifah nina hasira naye huyo Bloger acha tuUkome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?
ahaa kama haupo sirous kwa nn unapoteza mda wako humu ngoja nikuache hujielewi www
sawa mrembo utaelewa tu
ahaa kama haupo sirous kwa nn unapoteza mda wako humu ngoja nikuache hujielewi www
Umenisahau na mimi kaka yako hahahahahahahah
Yaah kwanzia leo no ban kwangu yaani.
KWANZIA LEO NA WA CHUKI MSIKIE KABISA. SITA QUOTE TEAM NDOMO ATA ANIKASHIFU NITAJIFANYA MJINGA. SINTOKAAAAA.
JIBU LA MJINGA NI KIMYA TUU.
asante atoto