Ha ha kwa hii video...guys let be realistic tuache ushabik mkaa plus maandaz binafsi imekuwa kinyume na expectation..nliexpect kiba atatoa video boraa but mmmh no..hii video ubunifu mdogo..
kile kikofia na ile stail ya kuchezaa hapnaa....
hapanaa
king badilikaaa la sivyo utabakia kubebwa na majungu tuu na sio video