Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,353
kuna mtu hampendagi ali kiba ila juhudi anazoifanya hapa kuitafuta hii chupa mpya inanishangaza...kazama mpaka webiste ya necta kulisaka chupa la mfalme...............mzungu angeweka record ya kusearch leo search ya chekecha ali kiba ingekuwa above 1 million kwa masaa haya machache

Hiyo video watu wengi hawajaiona hapa wanafuata mkumbo tu, wakiiona tutashuhudia nyuzi zisizo na idadi
Hahaha kweli mkuu,
Ngoja niende tena you tube hahahahaha nchi imezizima leo

ameshaenda
ameshaenda