Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Kiba katuangusha,afanye kazi zake bila presha ya mashabiki au kwa nia ya kushindana,kama hii video haikutengenezwa bongo then kaenda nje kwa ajili ya hii video?
Kiba anatuangusha
Umeiona video ?
Au umeona ile iliyorekodiwa na tochi na mtu fulani then akaiweka YouTube ?
Woyoooooooooooooo
Mambo zenu jamani....
Eti kwani kuna nini mbona kila mahali chekecha cheketuaaa naisikiaa.
Kuna nini kwan?
KIba kimbiza wa kukurupuka haooooooo
Kuna kipande Millard Ayo kaitupia insta
Lazma wanifunguliee naachaje kuja kucheza chekecha mimi?umefunguliwa cute b
okey kuna mtu amenitag insta kwenye ac ya kiba, kwakweli kwa kuangalia tu ile clip video ni mbovu mnoo compared tu nusunusu au nobody but me.. Diku nyingine mnavyolalamika mjitahidi kutafuta nafasi kumchana ukweli, watu waliomzunguka inaonekana ni bogus plus anafanya vitu kimasikini show zenyewe kavu hapati za kutosha, bado analipwa pesa kidogo afu anapoteza pesa kufanya vituko vole???
Nimeongea haya sababu najuwa kiba anauwezo wa kutoa kitu bora kama wenzake joh, shetta, mavoko na si kwa utoto anaofanya bora video coz kuchezwa trace haitoshi, coz mwana ilichezwa mara moja kwa wiki ova mpaka unajiuliza walilazimishwa kupokea?? kumbe ni quality
una mzuka
Kuna kipande Millard Ayo kaitupia insta
Kinoma yaan.
Nashangaa watu wana hara hara video mbovu....
Hii video kali kinoma.
Walitaka akaimbie kwenye ikulu ya Bondeni au?
#CHEKUTUAAAA
Wengi wao hawajaiona
Wengi wao hawajaiona
Ata ivyo mkuu usishangae.. unazani watakaa waseme ni nzuri ata kama wataionaa?