Wakileta upuuzi wao lazma waambiwe tu mana wakileta huku ya domo ni hawajiamini. Chochote wakileta cha kiba cha domo ni kuwa ignore tu basi.
Usipo jibu upuuzi inaonekana kweli na hao wanaokuja huku wanataka Ku prove kitu na wametumwa eeeh.
haya endeleeni
Wakileta upuuzi wao lazma waambiwe tu mana wakileta huku ya domo ni hawajiamini. Chochote wakileta cha kiba cha domo ni kuwa ignore tu basi.
Usipo jibu upuuzi inaonekana kweli na hao wanaokuja huku wanataka Ku prove kitu na wametumwa eeeh.
Ukiingia kwenye uzi wa king kiba uwe unasalimia kwanza haya msalimie sana, hivi karudi au anasaka kolabo
Angalia aliyeanzisha uzi mkuu mbona unajivua nguo. Upumbavu sio kilema saka exposure itakusaidia.
Unapo ingia kwenye thread yoyote uwe una angalia na jina la mtu alie uanzisha huo uzi,Fans wenzako wote wa kiba wana mpa respect Matola u know why?
Tutaendelea tu kwa kweli mana ni Uzi special kwa kiba mtu alete upuuzi wake na out of topic tutamwambia tu.
Umeelewa mahaba niuwe tu.. labda niongezee huu uzi ni jina tu kiba, but almost half of the comments unamuongelea Chibu danhote, King of Afropop EA, Sioni sababu ya mimi kutokuingia hapa ni nyumbani kwangu...
#bestmale #bestcollable #bestlive Chibu dangote
kuna watu mna elimu ndogo sana..
Kidato sidhani kama mmegusa.
Siangalii historia mimi naangalia umesema nini kwa wakati huu, kama ni ----- basi nakurudishia ukuwashe mwenyewe, siwezi jivua nguo kwa kuongea hali halisi. Byeee msalimie msaka makolabo
Yeyote akija huku na negative attitude anapigwa tu ( in pinda's voice) yani wamdhihaki kiba halafu tunyamaze, no way. Wakamdhihaki kwenye uzi wao, humu wanapigwa tu
Kidingi hamna anaye taka challenge za kipuuzi namna hyo zilizojaa selfish kwa kujidai Ku boost wengine kumbe ni kujificha nyuma ya hidden agenda za kibinafsi.
Icon ya taifa kwa kubebwa na sio Ku deserve kiujanja ujanja.
Ka ni bora msingekua mnapoteza a lot of energy Ku prove kwa watu kuwa ni best.
Kuanza mbali sio jambo la ajabu duniani na usitake kuaminisha watu kuwa yeye ni unique its a normal thing kabisa.
Kwanza hamu challenge kiba anawanyima usingizi mno whether you admit it or not that's the naked truth you don't need to use a lot of energy to show that. #KibawillAlwaysShineInOurHeartsNoMatterWhat .
Mumuache kumsakama afanye yake he is not competing with anyone. Kutuleletea mambo ya domo huku ni #KutokujiaminiNaMsaniiWenu .
Mbona siku hizi umekua na busara sana? au mwezi mtukufu?
Mmmmnh... Watu tupooo kimyaaa tu tunamsubiri ALLY KIBA atoe ilooo jivideo lake ili tujue tunamuweka lever gani.
Mana kwa sasa bao yupo kwenye lever za shilole-MALELE ile video ni kali kuliko mwana.
Mimi ni #teamChibu lakini pia napenda mafanikio ya wasanii wengine ALLY KIBA kapewa promo ya kutosha chamsingi afanye vitu vya kijanja ilooo kideo likiwa safiii ntarudi hapa kumpa hongera zake.
My take asije akatoa tena video itakayomuweka lever moja na SHILOLE atleast asogee kidooooogo mbele.
Ramadhan kareem
Mtasema yote mwaka huu, unajua kiba ni zaidi ya boss wako mondi ( ukitoa makolabo ya wanigeria ambayo wanampa msanii chipukizi mondi). Hii comment yako inaonyesha jinsi unavyosubir kwa hamu mfalme atakuja na kitu gani hhahhahaahha mbona huwa huzisubirii video za kina shilole na mziwanda. Chungu kumeza ila umejitutumua mzee, angalia trace kesho kisha ufungue thread.