Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mi namshangaa huku kudrop video kila siku kunamshusha sana, hivi haoni tanzania nzima sasa inazizima kwa kusubiri cheketua??? Ajifunze kwa the #king kiba

Hapa umepotoka, video ni muhimu sana kwa music industry ya sasa, tusitetee ujinga. KIBA ni mjinga katika hili.
 

Miezi miwili iliyopita tuliambiwa itadropiwa ya psquare ikiambatana na gazeti part 2 kuhusu tuzo za ktma. Haahhaha still waitiiiiiingggggggg
 
Hapa umepotoka, video ni muhimu sana kwa music industry ya sasa, tusitetee ujinga. KIBA ni mjinga katika hili.

Nani kasema sio muhimu, lakin lazima utoe kwa mipango kwamba itakuwa video nzuri, unique na italipa sio unarelease kama peremende wakati umetumia hela kuitengeneza, ile ni biashara lazima irudi muulize boss wako domo kama hajutii video ya taarab, nampongeza kiba kwa kuwa slow but sure.
 

Mwaka huu katoa Nasema nawe na Nana hizo mbili...

Mwana vipi si alishoot kwa god father??? amepata hata msanii chipkizi??

Dangote nitampata wapi imempa mtumbuizaji bora, bumbum imempa best collable, na consistency yake kumaintain mwaka mzima ameonwa kama mwanamuziki wa kiume bora zaidi...

Wizkid- crazy aliyoshirikishwa na sayshay imempa best collable, show you the money imempa best song, na consistency imempa best male

Davido mwaka jana katoa nae nyimbo nying tu shoki alishirikishwa imempa best song, collable na video the sound pamoja na best male... Still alitoa nyimbo nyingi aye, tchelete, naughty, owo ni koko, sasa diamond mdogomdogo, bumbum na ntampata wapi kwa mwaka unaona nyingi hahahahahahaha

masikini aliye na buku mfukoni, hata ukitumia 20000 tu anaona umefanya kufuru hahahaha ni uwezo tu
 

Mkiingia JF muwe mnapiga hodi, haya bwana mkubwa nitamuuliza boss wangu.
 

Narudia tena kuuliza ile taarab mbona huiweki kwenye mahesabu?? halafu unatambia video ambazo wanaigeria wamewabeba?? Haahahaha asimame yeye peke yake kama kwenye taarab na atoboe kimataifa hapo tutamsifu.mbona umepagawa mzee, au ni huu ujio wa cheketua. kiba angekuwa chipukizi msingekuwa mnaamkia humu na kulalia humu wewe na wenzio, mkiona jina kubwa kiba lazima mkimbilie huku hahahaha. Nasubir video yenu na psquare mana mlisema mngedrop miezi miwili iliyopita.
 

Umeelewa mahaba niuwe tu.. labda niongezee huu uzi ni jina tu kiba, but almost half of the comments unamuongelea Chibu danhote, King of Afropop EA, Sioni sababu ya mimi kutokuingia hapa ni nyumbani kwangu...

#bestmale #bestcollable #bestlive Chibu dangote
 

babu tale anauliza vp atoe video naskia na ya kwake inatoka j3 acheni kupaniki nyinyi should i drop this video this weekend ????? anauliza diaomond mpeni jibu #teamkiba
 

Nyie ndo MNA mahaba Niue vitu vya huyo domo muwe mnapeleka kwenye Uzi wake special hebu jiamini. Mnafikiri mkileta ujinga wenu wa domo humu hamtajibiwa.
Muache utoto sasa huku hamna mashindano ka anatisha mbona kuja kwenye thread ya kiba.
#GrowupAndLetUseOurCommonsense .
 

kwahiyo nigeria ni kimataifa na AY asemeje sasa nikuilize hivi ommy dimpoz na shetta wamefanya collabo na wanigeria we unadhani kiba anashindwa ???? usiwe mvivu wa kufikiri hadi kina chege wamefanya na uhuru #once up on time
 

kuna watu mna elimu ndogo sana..

Kidato sidhani kama mmegusa.
 
Ukiingia kwenye uzi wa king kiba uwe unasalimia kwanza haya msalimie sana, hivi karudi au anasaka kolabo

yaani unanitaka huelewi kiswahili kabisa, huwezi kuwapuuzia maana mnasogeza page utadhani kuna la maana linajadiliwa
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh wa international recognized hawajiamini kabisa kutwa kuhangaika na local artist si ukichaa huo usio na kifani.
Ndo tatizo la kufanya vitu kwa kushindana ili aonekane yeye ni best. Hyo taarabu sijui nani alimshauri angewaachia kina Mzee Yusufu tu.

Ka angekua ni intaneshno asingetegemea backup ya collabo na Wanaija ndo mana Davido alimfanya fameous.
Video moja tu ya kiba inawasumbua kihivo washaanza yao.
Tuachieni kiba wetu.
 

Dogo yeye anashindana ndo mana na anafanya hvo kusudi ili Ku shift attentions simply kisa kiba anatoa video.
Kuna kipindi alisema ata drop new video Mpaka Leo hajatoa.
Ka ni Ku drop hamna haja ya kuuliza ni kuitoa tu.
Na kutoa nyimbo nyingi hakuonyeshi kuwa nyimbo ni bora kuwa na nyimbo inayo heat mda mrefu.
After all nyimbo zake azina jipya kwa kutegemea backup za collabo. Awe anatoa kivyake tupime sio kutumia wasanii wengine maarufu.
 
yaani unanitaka huelewi kiswahili kabisa, huwezi kuwapuuzia maana mnasogeza page utadhani kuna la maana linajadiliwa

Wakileta upuuzi wao lazma waambiwe tu mana wakileta huku ya domo ni hawajiamini. Chochote wakileta cha kiba cha domo ni kuwa ignore tu basi.
Usipo jibu upuuzi inaonekana kweli na hao wanaokuja huku wanataka Ku prove kitu na wametumwa eeeh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…