Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ndiyooo ushangingi na uchakubimbi wetu.
Ila sio kwa ushankupe huooo!

Mtachukia mno jamanii 😆😆mtaita majina yotee
Kale kamchango tukaongezee kidogo king alipiwe kodi jamani
 
Mtachukia mno jamanii 😆😆mtaita majina yotee
Kale kamchango tukaongezee kidogo king alipiwe kodi jamani

Nani atakuwa msimamizi.maana hata Mimi nimeumia kwa king kufukuzwa na kuishia kulala guest
 
Kweli nimeamini bongo hakuna baba mwenye TUZO kuna baba mwenye nyumba tu a.k.a STATE HOUSE
 
......haya bhana!
ты ненавидишь? мы просто шучу ..
 
ты ненавидишь? мы просто шучу ..



.........Лодно!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…