Hahaaaaaa uzalendo kweli kweli ndo huo wa kuendekeza vigodoro ndo ujanja huo. Ndo hao wanaojaa kwenye page ya Davido kutukana ndo uzalendo wao hao.
Uzalendo wa maneno tu. Mi napenda ule uzalendo wa Nyerere sasa hakuna mzalendo loh.
Heloooow lovely family, missed you guys, kwani nini kinaendelea? Mbona mamluki wengi humu? Mmewashika wapi mpaka watapetape hiviiiiii!!! cute b plzzzzzz!!
umepanic nini binti?
Mbona muhusika ameelewa tu
Una tatizo personal?
This is social network...You should not integrate it to your real life
Inaitwa read btn lines, jiheshimu utaheshimiwa
Tena watu wazima kabisa bora ingekua tenaja wengine wanakimbilia uzeeni.
Yani watu wazima kabisa hata haya hamna bora hata wanawake mijianaume mizima sasa inashangaza kabisa so shame kwa kweli😱😱😎
Kisa kiba kamaliza kurecord collabo yake na bel ndo wanatapa tapa mamy
Basi walim booooooooohHakuzomewa nabishaaaaaaa ×100000000000
Kuvamia vamia kila kitu na kukurupuka ndio wanajua, aiseee i can seee the bi difference btn this family n other dudes kwakweli, embe haidondoki mbali na mwembe ujue!!! Okey kwakuwa hapa ni mtakuja na hamuwezi kujizua as mtaumwa, basi karibuni sn, tutafanyaje ss na ndio watanzania wenzetu ngoja tu tuwe wazalendo tuwavumilie mayb 1day watajitambua😉😉
Hahahaaa mwendhio kasema anasupport teh! teh!
Alafu anakurupuka ananiambia nimepanic hata hajui kwann nimemuambia hivyo, huruma
Inawauma nn wao kwani? Alitaka aimbe nao?
"wanaume" umekosea kulitumia hapo, sema wavulana maana pia mie nahisi ni man's id ila zinatumiwa na wanawake, those cant be men trust me.
Duuuh kweli wewe ndio umepanik dogo, eti to my real life, like serious!!! Hujaelewa why nimecoment hivyo alafu ukakurupuka tu eti nimepanic, km hukuelewa ungeomba tu ueleweshwe sio kukurupuka.
Best option ni kumu ignore tu mtu anayetafta ugomvi sasa kumshabikia Kiba napo kosa. Its so shame kwa kweli watu wazma kabisa.
Mi ndo aki quote Mpaka achoke anapoteza mda wake stress zao hatutaki kwenye Uzi special kwa Kiba.
Best option ni kumu ignore tu mtu anayetafta ugomvi sasa kumshabikia Kiba napo kosa. Its so shame kwa kweli watu wazma kabisa.
Mi ndo aki quote Mpaka achoke anapoteza mda wake stress zao hatutaki kwenye Uzi special kwa Kiba.
Si walisema kiba anaangaika na tembo ndomo yupo studio?
Sasa leo imemalizika.
Walizani kiba ni mtu wa shoo of kila anachofanya apost.
Leo mashavu yamewashukaaa loooo
How are you? Missed you peterchoka
Yani from nowhere mtu unakurupukia kitu ili iweje sasa hahaaaa kumbe wanashindana mitandaoni. Wanao Uzi wao special kwanini wasiende vtu vingine ni kuwa tu na kiasi basi no one is going to be awarded.
That why I love #kibasfans aisee they act in civilized way. Compare with other team.
Sio embe tu mtoto wa nyoka ni nyoka.
#IloveKibasFansTheyAreMaturedEnoughTheyKnowToActAsGrownPeople .
#NeverWasteUaTimeArguingWithFools .
#TeamKibaForeverOneLoveoneAfricaOneBlood .