Hahahaaaaa!!! Yaani wasubiri tumalize mfungo watafurahi na roho zao, kwasasa tumpe Mungu nafasi yake huku tukiendeleza mapambano dhidi ya manyang'au wanaoua tembo wetu,
#popitinnnnnnnn
Labda kaswida.
Wanafiki hao acha tuu. Kama yule basenbaner yule ptuuuuu mamy kama mbwai iwe mbwai wangoje huko kuvote paishe ndo waje waombe kumaliza tofauti zetu. Mi panya buku ya kufa mtu yanang'ata huku yanapuliza upande wa pili na nimeliona hilo.
Sijui wanaume wa upande wa pili wana mapungufu gani jaman yaani ngachoka
Hahahaaa dia umewaua. Haykyananiii nimecheka eti manyang'au yanaoua tembo wetu hahaha
Hahahahaaaaa!!! Eti moyo umegoma!! Washakuchafua eti mamii, wasubiri hili liishe then tutaanza upya ama neneeee!!
Wanafiki hao acha tuu. Kama yule basenbaner yule ptuuuuu mamy kama mbwai iwe mbwai wangoje huko kuvote paishe ndo waje waombe kumaliza tofauti zetu. Mi panya buku ya kufa mtu yanang'ata huku yanapuliza upande wa pili na nimeliona hilo.
Sijui wanaume wa upande wa pili wana mapungufu gani jaman yaani ngachoka
Hawajui hizo ndizo icon za nchi? Zingine mbwembwe tu, sasa ni kupambana nao kwa hali zote, Kiba anaipenda nchi yake wallah huyu ni mzalendo wa kwelikweli.
Labda kaswida.
Mnafiki nenda naye kinafiki nafiki...mpaka mnafika kinafiki ivo ivo.
Ngoja tumalizane na hili swala la Davido na mtv.
Moyo wangu umegoma kabisa.
Sasa wao si wanajiona wanatuchota akili, wanatuona mazuzu! Wacha twende kinafiki ivo ivo.
Ila kwa swala la kura moyo umegoma.
Bonge la shavu yaan si mcheizoooi. Hahahaaaha unataman eeee?
Kweli ndo uzalendo tunaoutaka...
Basi apo wanafiki roho zinawauma walizani tumeshakata tamaa juu ya Kiba hawajui ndo tusha jicommit eee? Wanalo mwaka huu
#kibamiakaelfumoja
Ndo usha give up mkuu kiasi icho? Plzzzzzz
Mimi mwenzio na unafki mbalimbali, mtu anayejifanya mwislamu sana mara sijui swaumu mara sijui nyokonyoko leo page yake ya Insta kageuka yeye ndio ofisa uhusiano wa kidoti kurequest warembo wa kujiunga na kidot, hivi haya ndio mafundisho ya uislamu na ramadhani hii?
+basi sawa Kiba fans, ila sisi siku ambasada akiwa nominated tunamgongea kura kiroho safi yaani!
Mimi mwenzio na unafki mbalimbali, mtu anayejifanya mwislamu sana mara sijui swaumu mara sijui nyokonyoko leo page yake ya Insta kageuka yeye ndio ofisa uhusiano wa kidoti kurequest warembo wa kujiunga na kidot, hivi haya ndio mafundisho ya uislamu na ramadhani hii?
Ya Mungu mpe Mungu ya Kaisari mpe kaisari, hiyo ni imani yake matola atajuana yeye na Mungu wake, kwani ni kweli anamdate jokate au ni fitna tu za walimwengu ukimzoea mtu basi mshalalana!!!
Umegoma kunielewa nisome tena. Wadate au wasidate na kidot hiyo ni juu yao, kinachokera mtu anayesingia mwezi wa Ramadhani page yake kujigeuza kana kwamba yeye ndio PR wa Kidot.
Anyway labda wengine matatizo yetu ni kutumia akili kubwa kwenye mambo madogo saa nyingine ngumu kueleweka.
Mimi nina rafiki yangu Facebook ni public figure na ni mwislamu mwezi wa Ramadhani huwa anadeactivate account yake. Hii ndio imani na siyo usanii
Wa hawa watoto.
Itapendeza sana
Ni jambo jema kuonyesha mfano mzuri.Na he shall be nominated for sure.