Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Mwanaume wa ukweli(mwenye akili timamu) ni yule anapoona mwanamke anajisahau anamrudisha kwenye mstari sio naye anavuta mkeka kushadadia upuuzi, is that a man kweli??? My dear ukute tunawaonea tu kumbe ni zile id za kiume zenye wanawake behind it.
Nashukuru mamii nimeiona pm na nsharespond
Sasa izi ndo issue sisi tunazitaka sio ule unafiki wa ku compare compare oooh kiba kafanya shoo sebuleni mara hana follower wengi mara kajamba mara kanya izo sio nzuri.
Ila umenena poa unaweza usiwe shabiki wa mtu ila ukamkubali sasa mimi jana nasema nakubali mziki wa dai watu wakaanza sijui kiba katuchosha sijui tunajipendekeza sijui mavi sijui utumbo waliongea mambo chungu nzima ila apo imeonyesha picha gani? Kwamba ata domo akifanya poa nisisifie si ndio? Au wew umeonaje mamy?
Acha nami leo nichangie kidogo. hapo dogo msameheni tu kwa upeo mdogo. Kama kuna possibility ya kukopa na kujenga nyumba kwa nini ujenge kwa kutumia your own cash? kuna mdada humu huwa anadis kwamba watu wanakopa ili kutengeneza video. Kwangu mimi sioni ubaya maana hiyo ni business strategy nzuri tu as laong as umefanya hesabu zako vizuri ukaona una uwezo wa kurudisha mkopo baada ya mauzo
Tunatakiwa kujua hata wafanyabiashara wakubwa matajiri kama kina mzee Mengi wanaendesha biashara kwa kukopa. La muhimu ni kwamba uwe na sifa za kukopesheka, na uwezo wa kurudisha mkopo. Kujenga na kununua magari ya kifahari kwa own cash kunarudisha nyuma maendeleo ya nchi hii. Kopa jenga nyumba, cash yako invest kwenye biashara, faida unayopata rudisha mkopo.
Very true huyo anaye mrudisha mtu kwenye mstari ni mtu bora. Kuna wanaume washadadiaji na wambea tena wakiona watu wanagombana wanaitana.
Na sie wanawake tujifunze mambo ya kutukana na kuzalilishana viungo vya uzazi sio deal.
Wanaume hutofautiana lakini hawazalilishana viungo vyao. Sie twaona sifa.
cute b this is special dedication to u
Raindrops-2Face
Basi nakuomba kwa heshima yako cute b japo umvotie kijana wetu mtanzania mwenzako diamond we wll be happy 4real coz Kiba anaelekea huko huko internation if atazidisha efforts" hizi ni team kuwapa changamoto wasaniii wetu tu wasijisahau sio timu za kutukanana"
Mie ndio maana nikishaona huu uzi ni wa kichochezi na wanaume wazima wanaitana na kushadadia najisepea zangu huyoooo kimya kimya, maana najua nsijetukana mtu nikaishia ban.
venine wengi wanafikiri kukopa ni umasikini hawajui kukopa huwa ni jambo la kawaida. USA yenyewe hukopa hata Tanzania na wafanyabiashara wakubwa sembuse Kiba.
Sasa izi ndo issue sisi tunazitaka sio ule unafiki wa ku compare compare oooh kiba kafanya shoo sebuleni mara hana follower wengi mara kajamba mara kanya izo sio nzuri.
Ila umenena poa unaweza usiwe shabiki wa mtu ila ukamkubali sasa mimi jana nasema nakubali mziki wa dai watu wakaanza sijui kiba katuchosha sijui tunajipendekeza sijui mavi sijui utumbo waliongea mambo chungu nzima ila apo imeonyesha picha gani? Kwamba ata domo akifanya poa nisisifie si ndio? Au wew umeonaje mamy?
Sitakuwa najipendekeza?
Sitakuwa najipendekeza?
Tena wanaume ndo wambeya balaa wanapenda kuona wanawake tunazalilishana maungo yetu wao wana enjoy tu.
Wao hata wakigombana wana solve kiume sie ndo eti twaonyeshana umwamba.
Best solution ni kujisepea zako mapema tu basi.
Wakuu nimesoma comment ya mkuu mmoja insta kwenye page ya King kuwa kuna ngoma kali ya Kiba feat Christian Bella imevuja so kama kuna mtu anayo basi aitupie hapa kwenye #royalFamily tuiskie.
Hahahaaaaaa!! We jipendekeze tu, alafu waziweke wapi sasa? Chooni ama? Utafunguliwa na uzi nakwambia.
Rudi pm mamy....hahahaaaa apo chachaaaa
#iwillvoteforstone