Ali Kiba Fans' Special Thread...


onelove cute b together as one, we shall overcome someday, isn't it?
 
Last edited by a moderator:

Chezeiya unafiki wewe hauishi kamwe. Hachotwi akili mtu hapa na walitegemea mipasho na matusi watasubiri sana. Msanii wetu ni local we respect that.
Ka nawaona uso ulivo washuka walifikiri habari ya shingongo tu ta imindi sana that why I like #TeamKiba jamani mnajielewa sana no matusi wala ni ni wala paniki.
#ForeverAsOneMuchLove :thumbup::thumbup:
#KeepItUpTeamKibaFans .
 

Yaani na wanafanana kama mayai, hv mpaka kutumana ili kuchafuana!!! Like serious!!! If zingifuri was right basi they hv a veryyyyyyy big problem, we angalia tu hata ktk thread hizi mbili wao ndio hawaishi kutia fujo humu na vitu visivyo na miguu wala kichwa wakati mthread wao umedoda kule, sie we r a family now hatutaki wanafiki humu, kama mtu hana cha maana cha kuongea(kinacho muhusu King) basi ajisomee tu atambae
 
Last edited by a moderator:
+safi kumbe aliuponda mfumo wa tuzo za kili za mwaka huu na akasema ndio sababu yeye kutokujipigia debe kwenye pagae yake lakini hakuna mahali amesema "sihitaji tuzo" angesema ivo hata mm nisingejisumbua kumvotia.

Yani mpaka aseme?
Actions speaks louder than words.
 

Aiiii tena blessed alot
 

Na wao wampe mtu wao support sasa walitaka Kiba asipewe support kisa hawamkubali. Maneno yote wameongea eti karudi kufanya mziki kumshusha domo. Mbona Nigeria kuna wasanii wengi wa kimataifa na hawasemani kuwa wanashushana.
Kwahyo wengine wasifanye mziki na kupokea tuzo kwa vile mtu wao kafanya collabo na wa Naija.
 
Kiba hajawahi kusema hana haja ya tuzo so kama mkitaka kuvote fanyeni ivyo msipo penda acheni tuu maana kubali mkatae chanzo cha yote hayo bifu zote zimeanzia kwenu

Uwiii hivi domo kaanza kuitwa ndomo leo??? Hii si tokea anatoka jamani tena na hao hao team yake, mie rafiki yangu ni team yake lkn ndivyo anavyomuitaga hivyo so hata wasimind
 

Na mengine kujileta pm kujitongozesha sijui ndio strategy walioipanga!!! Tena wakomeeeee, hatutaki wanafiki hapa, unafiki wao hukohukoooo.
 

Mwanaume wa ukweli(mwenye akili timamu) ni yule anapoona mwanamke anajisahau anamrudisha kwenye mstari sio naye anavuta mkeka kushadadia upuuzi, is that a man kweli??? My dear ukute tunawaonea tu kumbe ni zile id za kiume zenye wanawake behind it.
 
Kama nyie mnavohisi tunamchukia dai
Tuliwahi kusema?

+ndo maana hapo mwanzo nilikua namuelezea cute b, team zote 2 zina makosa, zote zinasababisha mauzi kwa each other, sasa for the health of our music, embu haya mauzi yabaki utani tuu lakini kwa mambo ya msingi ya kuufikisha mziki wetu mbali tuweke pembeni au vipi.

+usiseme mbona nyie mlifanya ivi na vile hayo mambo hayaishi, wasanii wetu wote wazuri likitokea jambo jema tusapotiane
 
Tena mtu a vote akipenda sio akikataa uanze kumwita majina ya ajabu yote duniani. Kumpigia mtu kura ni uamuzi na utashi wake haina haja ya kumkashifu mtu.

Sasa intaneshino anavotiwa na local tangu lini?? Na wakati tuzo zimejaa!!! Hawaangalii chanzo cha tatizo wanaanza kulaumu watu tu bila mpangilio
 

Boonge la suprise kwao yaani they never expected, wakajikuta wanablend, hahahaaaaa raha sn kuwa team ya watu wanaojitambua, wachawi wa mjini hahahaaaaa nicheke mie maana ninazo sababu,

Kudooooooooos to my lovely royal family #teamkiba
 

Si ndo tabia yao hao wao zingifuri alivotupa makavu mwanzo wakaona Sawa kweli wakajua katupata vizuri daily kutuanzishia Uzi. Alaaa alipoanzisha Uzi kuhusu domo ndo wakashtuka na kumparamia kuwa mzushi.
Na Uzi wa Jana aisee licha ya ushabiki wanaenda beyond aisee.kumbe alikua anatumwa.
Unajua wangekua wana discus kuhusu Kiba haina shida sasa mambo ya ndomo kwenye Uzi usio muhusu.

Ndo mana wanaenda kutukana kwenye page ya Davido aibu tupu.
 
Last edited by a moderator:

Na akisema karudi kukalia kiti chake ambacho kilikuwa hakijakaliwa tatizo liko wapi?? Ofcoz its true nani alikikalia? Hebu niambie ni nani anaweza kuvaa viatu vya Kiba??
Tena ni kuonyesha kwamba yeye ni mwanaume na anajiamini bwanaaaa, maana kamwee haitokaa itokee kuwe na Kiba mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…