wapi diamond amesema jamaa anatia kichefuchefu? by the way...Muziki wetu hauwezi kuendelea kwa upuuzi kama huu
At least Mondi anaitangaza nchi yetu
Manake kila sekta tumefeli
Hapa naweza kukubaliana na wewe mkuu
Weeeeh do you think sijui dna ni nini??? Kamuelimishe huyo asojua maana ndio alosema hayo, kwikwikwiiiiiii
haya hongera....but "kama" ni acc ya Diamond hapo kaongea fact
Je "Kutia kichefuchefu " ni sawa?
Si ndipo akili zako zilipoishia??? Haya nenda sasa si umeridhika!
nimekusoma mkuu...Argument yangu ni kwamba kama tumeona global ni wazushi kwa habari hii ya kiba...Je tutawaaminije kwa habari zingine mfano ile ya Diamond kusema kIBA Anakula makombo kwa jokate?
Acha kusupport upumbavu wa MONDI wewe?... sasa unavyosema ameongea fact kabisa kivipi? iyo ni fact au umbea? Tena kwa mnavyosema icon kama yeye?,maana ata kama ni kweli kiba hakumuomba amsemee hilo,hivyo take it or not MONDI ndo chanzo cha bifu hili hakuna cha kusema kiba anachuki na mafanikio ya MONDI maana ukweli unajulikana kinachomfanya kiba asimpende MONDI ni hicho mkuu nothing else.
KWA KUA TUPO KUONA TIMU FULANI WANAUMIA WAKIANDIKWA WAO NDO TUNACHOCHEA SIKU YAKIANDIKWA YETU TUNA MUTE. So mimi sioni sababu ya global kuwa sababu ya kujenga chuki kwa kiba au mond coz kila mtu anaelewa but we are there 4 having fun.
Achana nae huyu anajitekenya na kucheka mwenyewe, do u think he/she ll ever get you?? Muache na mtakatifu wake.
Achana nae huyu anajitekenya na kucheka mwenyewe, do u think he/she ll ever get you?? Muache na mtakatifu wake.
safi sana kama unajua...thats good
Mimi naamini Freeland anaelewa sema anaendekeza bado ushabiki.
Naona unawapooza wajane na stress zao.
+mkuu kama hizo habari mbili nilizozisema hapo juu huziamini its okey.
+kuhusu hizo screenshot ulizozitoa hakuna mahali nimezipinga kwa sababu sina ushahidi wa kuzipinga. So kama ni kweli alisema ivo si sawa. Maana naona umekuja kiligiligi!
Nimependa uelewa wako
Lakini hicho kitu kinachofanyika unadhani kina manufaa chanya kwa maendeleo ya Muziki wetu?
Unadhani kipi ni bora kufanyika?
Inahitajika kuwa nao karibu katika kipindi hiki. Kuwatia moyo ni ndugu zetu hawa wasije wakachukua maamuzi magumu.
Naona unawapooza wajane na stress zao.
Yaan mkuu kabla ya yote ni kwamba ili mziki wetu uendelee lazma tuache unafiki wa kufananisha vitu kwa mfano.
Domo kafanya shoo za nje kibao na kajaza watu sikatai ila nyie mnataka kiba akifanya shoo za nje ajaze kama domo asipojaza mnaanza mara oooh kafanyia sebuleni apo ni wazi mnaendeshwa na uteam na sio nia ya kuinua mziki.
sio lazima anachofanya domo kifanane na anachofanya kiba tuwaache wao ndo wanajua wanafanya nini ila ukisikia kumsaport au kumshauri unamshauri lakini sio kwa kumfananisha na dai.
Unajua hiyo tabia yenu ya kumdharau kiba inawaumiza sana mashabiki wake na ndo maana watu wapo radhi ku vote for Davido not mond. Kwa sababu kiba alivyopata tuzo badala ya kumpongeza mlimdis kuwa nyie level yenu ni intanetional sijui mna tuzo adi mnaumwa ndo kilichofanya fans wa kiba waka move to vote for davido ili domo ajue mziki sio pesa tuu mziki ni pamoja na kuwaheshimu wapenzi wa muziki.
Kwa kweli we have to change mkuu mistake ndogo inaweza sababisha mabalaa mengi sana
Hahahahah...Ni kweli mimi ni mshabiki...kama na wewe ulivyo mshabiki...Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama haya mazingira tunayojenga kwa wasanii wetu yana manufaa mapana kwa muziki wetu....Naona kama tunaacha issues na kuhangaika na non-issues
Hahahahah...Ni kweli mimi ni mshabiki...kama na wewe ulivyo mshabiki...Lakini kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama haya mazingira tunayojenga kwa wasanii wetu yana manufaa mapana kwa muziki wetu....Naona kama tunaacha issues na kuhangaika na non-issues
Mkuu hapo umenena vyema sana na kiukweli hakuna asiyejua MONDI ana hit Africa ila kikubwa ni kutengeneza watu kama yeye watano ivi ili tujivunie kuwa muziki wetu umekuwa ndo maana kuna habari niliiona ya MWANDISHI FULANI ivi wanaongea kwa uchungu akisema anaomba sana "kipaji cha kiba kisipotee ivyo akina Babu tale na salimu wamshike mkono mdogo wao KIBA ili nae ang'aee nje ya TZ ata kama aliwakosea wamsamee tu maana mtoto akinyia kiganjani mkono haukatwi ila unasafishwa tuu" na kiukweli ata Mimi ilinitouch sana ile habari mkuu na kuona kumbe kuna watu wanatakia mema muziki wetu na ivyo inabidi tuwe na superstars wengi huko nje ya tz sio MONDI pekee,"TRUTH NOTED".