Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uliamini peke yako

Na sisomi kabisa izo gazeti zisizoeleweka

Nimesoma mahojiano ya Kiba na gazeti lenye heshima zake siku aliyorudi na kufika kwenye iko kikao cha tembo hakuna sehemu aliyomtaja diamond

Haya...umefanya vyema sana
 
Sina ushahidi wa video au audio inayoonyesha Diamond akimdhihaki Alikiba au kumsemsemea maneno mabovu au kumtuhumu. Ila kwa Alikiba ushahidi upo.

na kwa diamond upo pia tena upo mkubwa#KINGKIBA
 

AY ?au ni mcongo nyie team domo mnajihami kwanini ujiamini aisee we nenda kwa domo kule #kebekebe
 

mkuu kwani diamond amesoma mpaka chuo au ni mipango ya kiba tu haikamilishi kwa wakati ila bora kiba kwa elimu kuliko domo #kebekebe
 
Mamy mambo?

Poa kabisa mpendwa, vipi hang over imeisha? Naona sie kuamua kumpa makavu live kiba wameamua wamsingizie na mengine sasa, my friend alikuwepo siku hiyo kwenye hilo tukio hamna mahali kiba alimtaja d, uwiiii hili bifu linakuzwa hatari, si bure kuna wanaofaidika nalo, na team d wamelishadadia haoooo km nawaona wanavyofurahia.
 
mkuu kwani diamond amesoma mpaka chuo au ni mipango ya kiba tu haikamilishi kwa wakati ila bora kiba kwa elimu kuliko domo #kebekebe

Acha ushabiki maandazi

Iko cheti cha 4m 4 sijui 6 ndio elimu
Alafu mi naamini hata la 7 hajamaliza !!
Mtu eliyeenda skuli awi boya boya
 
itakuwa wamezusha pia kuwa Mimba ya Zari ni ya katunzi eeh? manake kuna wadau hapa waliamini hiyo habari

hilo la mimba bila hta maga zeti linajulikana sio yake katoka nayo huko kwao ila siwaamini global#kebekebe
 
na kwa diamond upo pia tena upo mkubwa#KINGKIBA

Hivi wewe umesahau kuwa ndomo ni malaika na mabaya yote ni ya kiba tu??? Mtakatifu yule hakoseagi u know, the perfect man ever lived.
 
Acha ushabiki maandazi

Iko cheti cha 4m 4 sijui 6 ndio elimu
Alafu mi naamini hata la 7 hajamaliza !!
Mtu eliyeenda skuli awi boya boya

duh punguza kidogo hta la saba kumbe hajafika duh nitamwambia ila kaenda xuli yule kiba #KINGKIBA
 
Hivi wewe umesahau kuwa ndomo ni malaika na mabaya yote ni ya kiba tu??? Mtakatifu yule hakoseagi u know, the perfect man ever lived.

swala la elimu kiba kamuacha mbali sana diamond ila ndo hivyo kiba anamipango mingi ila utekelezaji ndo shida yake #KINGKIBA
 

Hahahaaa kwani mamy unazani hata nilikunywa nilikuwa nazingua tuu siwezi kunywa pombe jumapili na wakati jumatatu ni siku ya kazi.
Kiba hajaongea hayo madude ila ujue nini acha wachonge coz wasipo mdis yeye watamdis nani?
Alafu mamy hii issue ishakuwa too much hamna kinachoendelea cha maana zaidi ya kumpambanisha kiba na domo ni ulimbukeni tuu na ukosefu wa ajira.
Tu focus kwenye issue za kiba now mamy tusipoteze time to argue with a fool.
Bado naamin kiba anaweza na namkubali miaka elfu moja.
 
Acha ushabiki maandazi

Iko cheti cha 4m 4 sijui 6 ndio elimu
Alafu mi naamini hata la 7 hajamaliza !!
Mtu eliyeenda skuli awi boya boya
Abou Saydou too much of everthing is harmfull sasa, wangapi wameenda shule na ni maboya zaidi ya hao waloenda? Kiba ana madhaifu yake km binadamu yeyote yule, lengo la huu uzi ni kumshtua atambue thamani yake na aifanyie kazi, hope he has,is and ll keep on changing maana hata Kiba wa sasa sio yule wa enzi hizo, everything hapens at a right time, i hope its time now atayafanyia kazi madhaifu yake.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kumsikia diamond anaongea shombo kama hizi kwa Alli,ila kwa ushahidi huu wa global (kama ni kweli) huyu Kiba haki ya Mungu hawezi kufika mbali kimuziki ataishia hapo hapo kariakoo.mamaaeee!

naona unalishwa maneno na shigongo. story zao utasikia tulimtafuta kwenye simu hakupatikana. ujinga mtupu
 

well explained #kebekebe
 
Last edited by a moderator:

True my dear, who is perfect??? Ndio maana tunarekebishana hapa, na tutambue kwamba pamoja na matazamio yetu makubwa kwake hata yeye ana matarajio yake sasa sie twampa chachu ya kusonga mbele zaidi asije zubaa, hata km atashindana ashindane with his own rules asije haribu, biashara ni ushindani ati, kujiamini muhimu ati,imani inaamisha milima dont they know that?? Hahahaaaaaa
#keepingthegoodmusicalive
#focusontheking
#webethechangeswewant
 
atoto

Naanzaje sasa kumhate huyu bwana Kiba ?
Angepata wafuasi 100 wenye akili kama zangu now angekua kama sungura
 
Last edited by a moderator:
atoto

Naanzaje sasa kumhate huyu bwana Kiba ?
Angepata wafuasi 100 wenye akili kama zangu now angekua kama sungura

Ndio maana tupo hapa, pwilo i know upo karibu na Kiba hebu mshaurini vitu vya msingi huyu mtu wetu, tunampenda sanaaaaa he has to know and value that, He ll always be the best to me nomata wht. He is big,he has to take that into actions now, hiyo mipango yake isiyokamilika aitafutie ufumbuzi sasa, anatakiwa alingane na jina lake sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…