Dah kiba kama anapitia hapa basi atusikie fans wake, Tuzo 6 za Kill ni kick nzuri ya yeye kupandia kuelekea anga za kimataifa dah.. unatuangusha kiba thus why tunaonekana ni mahater tu.
Afu kama wewe sio 4real kwanink unatumia signature yake.
Na umefuturu saa ngapi??
Mkuu wew ndo una ile account ya die hard fan? Nimeona kama mwandiko wako.
Weweeeeee usifuteee tena mwite kabisa aone asijidai kichwa ngumu
Rafiki angu ndio anamiliki ile account Jana tumedesign T-shirt nikajenga zile picha then nkapost ila Mimi ndio nilikua main commentor kuwatoa jeuri maandaz wanaomtetea
Na wameisoma viongoz wake wote
Na ao cjui rock star tumewachana DM mpka wametublck
Ila message sent
Mimi hapa ningemwona hata kopo la kichwa ningemtosoa kwa leo tu.
Kwa maana nampenda mpaka naumwa, kesho hasira zitakuwa zimekufwa u know.
mi ni fan wake mkereketwaa #tumsapoti kiba tusikate tamaaaa
Hahahaaaaa leo ni truth day aiseee, ila hii kampeni tuendelee nayo hivihivi mpaka ajiongeze, tunambeba anapanda na viwembe(in matola's voice)
Na mimi atanitambua ngoja nikapige picha na mabango asije akachezea akili zetu anajua ni jinsi gani tunatukanwa kwa ajili yake?
yaani anashindwa hata na huyu malaika katoa wimbo na video yake, kama vp asitoe audio atoe video tu, mambo gani haya analeta
Dah kiba kama anapitia hapa basi atusikie fans wake, Tuzo 6 za Kill ni kick nzuri ya yeye kupandia kuelekea anga za kimataifa dah.. unatuangusha kiba thus why tunaonekana ni mahater tu.
Huyu pwilo atanisababishia ban
Naona nimwache tu na bichwa lake zero.
Ye kabweteka tu anaona rahaaaaa, ngoja nami nije tutengeneze mabango, uwiiiii
Wewe ukiendelea hivo utamkosesha Kiba fans wazuri tu.
Kwanza ukiwa unamfanyia massage mwambie anaboa kinyama nyama ila tunamvumilia.
Kama alikuwa hawezi hili gemu bora angestaafu akaendelea kuzaa akina unju wawe kama kumi ivi.