Kiba bhana anaboaaa unamuuliza vipi kideo lini jaman anajibu usijali sasa ndo nini?
Leo ni gambe tuu afu kesho nimesahau nahamia sport forum nikija huku nakuta na kideo tayari
Dah kiba kama anapitia hapa basi atusikie fans wake, Tuzo 6 za Kill ni kick nzuri ya yeye kupandia kuelekea anga za kimataifa dah.. unatuangusha kiba thus why tunaonekana ni mahater tu.
Sasa kama kashauriwa haelewi wanategemea watu wafanye nini? Acha tumharibie labda atachangamka, sijaingia ista leo kabisaa aisee, usiifute hadi na kiba aisome kulea hizi chongo mwisho wanakuwa vipofu.
Wewe ukiendelea hivo utamkosesha Kiba fans wazuri tu.
Kwanza ukiwa unamfanyia massage mwambie anaboa kinyama nyama ila tunamvumilia.
Kama alikuwa hawezi hili gemu bora angestaafu akaendelea kuzaa akina unju wawe kama kumi ivi.
Sasa pamoja tutafika wakati tupo mwanza mwnzetu yupo dodoma tena anakunywa chai!!! Hatumtusi tunampa ukweli ili abadilike tushamvumilia sn anadhani tuna shida sn ya kumshabikia, tz kuna wasanii wangapi, why tumchague yeye??? Ajiulize kisha achukue hatua