Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kiba ni stress tuu acha nikaweke gambe

Hahahaaaaa! Acha hizo mdogo wangu gambe likiisha je??
Tuendelee tu kumshtua huyu mtu wetu atastuka tu, hii management yake ya home ndio shida
 
i like ur point aisee #abuuu99kiba
 

Pwilo ananiuzi hajui tu

Tatizo ni Kiba
Na mijitu Fulani Mfano Wa Pwilo ambao wamemznguka
 
Last edited by a moderator:

Aisee.
Leo umenena...ila nikuulize ulufanikiwa kufanya naye mawasiliano yeyote?
 
Cabo snop aliomba colabo hivi iliishia wapi? Aliiachia ile fursa hivihivi!! Mmmh mayb management ilikataa, mie bado nalia na management, hivi yeye haoni kama management yake ina shida?

Et mtu anajipndekeza yy ajibu SMS
Kiba ni mzigo ambao soon nitautua
 
video zetu za vichwani mpaka zinachuja. ila tu roho ngumu ujue atoto #kingkiba

Sanaaaaa, we muache ajisahau tuje tumhame ndio akili itamjia, ila anavyotiaga huruma yule atalia walah, sijui anajivunia nn haswa yule mtu
 
Last edited by a moderator:

unachokataa ni nini sasa wakati mi nimesema swaumu ipite au sijaelewa point yako sasa akitoa video c itakuwa swaumu imepita $kebekebe
 
Acha kwanza apoteze mashabiki ndo atashika adabu

Na anakoelekea atawapoteza nakwambia, anafanya muziki km wa zari(for fun) wakati hii ndio kazi yake, haya hata labda angekuwa na biashara kubwa inayomtia kiburi wapi!! Handsome mkubwa yeye!
 
Pumbaff
Am soree.
Sasa hapo unaona ni sifa au anajiroga?
Too much ego for What???

Cabbo snoop alizngua mnafki tu na yy

Mara ya kwanza alishindwa kufika location kushut video alivyofika akasema awez kushut na akataka aongezewe dai kutoka m10 to 25 Kiba akachomoa kipindi icho kabbo ni hatari

Sasa Leo kachuja anakuja tena
Ila ningekua Mimi Kiba ningekubali ili niiteke Angola kwenye music industry
 
Hivi wale nao walikuwa serious au stress za kuachwa tu!! Wale nao siwaamini ujue, misaada mingine huwa na majuto baadae aisee

Hata kama walikua wanatania, alipaswa afanye biashara kwa kauli yao
 
Kwanza tuanze na huyu Matola, yeye alisema atashughulia suala la management au alikuwa anafurahisha genge, halafu kuna huyu pwilo na abou hawa kuna mambo wanayajua

Ukimbemba mtu mgongoni halafu akipanda na viwembe unafanyaje!? The guy is poor in public relation tena yeye na manegement yake ni chupa na mfuniko, wangekuwa na akili ya kibiashara kwanza wangekuwa mpaka dakika hii wamesharecognise JF kama platform muhimu lakini wao wanabinuwa mikundu yao tu Instagram nyoko zao wote.

Huu ni mwaka wa kuikombowa Tanzania ni bora nikaelekeza nguvu na harakati zangu sasa kwenye siasa kuhakikisha Ccm inang'oka madarakani mwaka huu kuliko kuibeba miuza sura na mibana puwa isiyokuwa na akili.

Am done.
 
Last edited by a moderator:
m

no yani cabosnop aliituma insta hafu akaandika "hey brother officialikiba i want to talk with u "ila kiba hakujibu jeuri sana kiba yule msimamo wa akili yake ni imaraa cjui anawaza nn some tmz ok good things are coming #kebekebe

Uwiiiiii ngachoka mie, kwahiyo hata kujibu hakuijibu?? Mweeeeeh kib atakuwa na tatizo la kuzaliwa aisee
 
Fact kabisaaaa, video ina umuhimu mkubwa mnoo now thats why d anatoboa japo kwa kipaji hamfikii kiba(usinune tafadhali) ila dogo anaijua biashara tuache ushabiki sifa zake tumpe jamani, na anajua kucheza na fans wake haswaaaa

True kuna vitu hivi (kipaji na uzuri wa sauti) havina nafasi kabisaa, (nimefurahi mwanadada ninaemkubali zaidi beyonce amekiri hilo hapa juzi)

Ni sawa na mwandiko mzuri kwenye mtihani sio ishu kabisa, but for some personal reasons inakubeba kidogo saana..

Ndio maana ukijaribu kuangalia xfactor marekani kwa mfano, kama ni mara ya kwanza utasema daaah huyu dogo baada ya miaka mi5 atakuwa beyonce au chris brown something which is not there... Hata kwetu bongo madogo wanajitahidi saana na niwakali vibaya kwenye bongo star search but wakitoka hapo hamna kitu...

Tallent add something to your work, but determination and hardworking makes you unique in your own level kwa upande wa muziki...
 

Hapana kuna mtu anaitwa Stanley enow yupo vizuri ni rapper na wanammeneji vizuri

Nafikiri anawania best collabo pale MTV awards

Tatizo Kiba ajiongezi anataka atafuniwe
Yani yupo kama kikongwe au mtu aliyepewa taraka
 
Sanaaaaa, we muache ajisahau tuje tumhame ndio akili itamjia, ila anavyotiaga huruma yule atalia walah, sijui anajivunia nn haswa yule mtu

kiba lazima akosolewe ili ajifunze. anatakiwa abadilike kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…