Tatizo hata kurudi aikua ridhaa yake
Wadada wachache kama wastara walianzisha kampeni instagram " bring back our Kiba" watu wengi wakairepost
After two weeks akamfata didas ambaye alianzisha kampeni ile kua am back for real
Akatoa mwana watu wakaipokea
Maneno mengiiii kama mtu Wa pwani vile
Kwani mkuu yeye kiba amesema msimamo wake kuhusu iyo video ni nini? Ebu weka mambo wazi mkuu wangu coz mi mwenyew sipendi lakini lazma tujue ni kipi haswa kinachomsumbua kiba ni hela au ni nini..
Coz mi najua wazi mtu ukiwa na hela unaweza kufanya kila kitu ila ukiwa hauna hela haujui ata pa kuanzia
Tunaroho ngumu sisi zaidi ya Paka.
Ndio maana nikiwaona wasengerema wananitikisa huwa nawaonea huruma tu.Hawajui nimejitoaje yani.
Kiba needs to react.Anatutia machungu.
Dont tell me!! Kumbe alishaamua kuacha muziki!! Kweli aliamua kile kipaji kipotee hivihivi, there is something wrong with this guy aisee, kweli inatakiwa ajivunie fans alio nao
Hana hata shida ya pesa
Mi nahisi naturally ana tatizo na halina tiba
Video mara ipo kwa director Mara aseme ipo tayari haeleweki
kweli ulilosema.. Ila ninapenda upendo wa mashabiki kwake ni vizuri sana.... muda mwingine huwezi jua kinachoendelea nyuma ya pazia patience is all that counts...
Nadhani muda wote huu atakuwa anajifunza kitu, na sidhani kama anaridhika na attention ya watu tu...
Unaposema kama domo unakosea
Afanye kama wengine wanaofanya kazi kama yake na wakafanikiwa.
Hususan akipost vitu vinavohusiana na kazi yake.
Publicity is publicity wether bad or good.Seuze ukifanya good!
Je kwanini hamfollow mtu hata mmoja?
Unadhani inamsaidia??
Mi nakwambia lazma itakuwa ni issue ya pesa mkuu.
Ila tusimlaumu sana acha tuone plan zake ni zipi
Mi nachojua kuna mambo mazuri yanakuja.
Ila awe mwangalifu, wakati yeye anaangalia kufika kwenye 8 wenzie wanafikia 1.
Very bad ni kosa kabisa kujilinganisha nao.Sijui kama unanielewa.
Kiba anahitaji management itakayomshtua, lasivyo atakuwa historia soon, he has a long way to go bado, asijeridhika na hizi sifa tunazompa akalewa akalala tena, muziki huu inatakiwa aufanye kibiashara sio kifamilia aisee, kama ni mdogo wake ashambeba sana mpaka kajisahau kuwa na yeye ana deni la kulipa kwa fans wake, aamke sasa.
Kwani mkuu yeye kiba amesema msimamo wake kuhusu iyo video ni nini? Ebu weka mambo wazi mkuu wangu coz mi mwenyew sipendi lakini lazma tujue ni kipi haswa kinachomsumbua kiba ni hela au ni nini..
Coz mi najua wazi mtu ukiwa na hela unaweza kufanya kila kitu ila ukiwa hauna hela haujui ata pa kuanzia
Inatakiwa afanye kwa nafasi yake, taratibu tu atafika, kama atazungukwa na watu wanaomsukuma kufikiria positive na kusonga mbele i know atafanya makubwa sana, aitumie hii fan base alojijengea vizuri asije haribu, we are here to support him
huyu kiba namkubali sana. ndo maana hata kwenye uzi unamponda kiba huwa sichangii naweza tukana mtu. tuna roho ngumu sana.#kingkiba
Inatakiwa afanye kwa nafasi yake, taratibu tu atafika, kama atazungukwa na watu wanaomsukuma kufikiria positive na kusonga mbele i know atafanya makubwa sana, aitumie hii fan base alojijengea vizuri asije haribu, we are here to support him
Kwani hata akifanya kama domo as long as ni kitu kizuri shida iko wapi?? Hakuna ubaya kuiga mambo mazuri maana hata huyo d kaiga kwa mwingine, hii ya kuogopa kuwa ataonekana kaiga nayo ni tatizo, mafanikio mengi duniani watu wanafanya kwa kuiga, hata waanzilishi wa jf hapa tunapopata burudani na elimu waliiga kutoka mahali so sio vibaya.
atoto, wakati sahihi ndio huu.Hivi unajua hata sisi mashabiki tuna mchango ktk hili, nahisi kiba alivyorudi tulimpa bichwa sana na nafasi ambayo alitakiwa aifikie taratibu sasa hili ndilo linamcost, tunampa pressure sio kidogo, pressure ni nzuri ili apate hasira ya kufanya mazuri ila sasa ni too much, hii madhara yake tumeyaona hata kwa d, sasa inatakiwa awe makini mnooo ktk kufanya lililo sahihi kwa wakati sahihi
Ukiwa na kipaji kama alikiba hutakiwi kujipanga kihivo, naamini ni jeshi lililo tayari muda wowote..
But tatizo linapokuja, muziki wa tz kidogo naona kama mashabiki wanafurahi zaidi msanii anapoweza kutoboa kimataifa.. lakini ukumbuke pia investment kipesa inatakiwa ifanywe ya maana, na mda wote alipokuwa kimya sidhani kama alikuwa na source kubwa ya kipato kama muziki...
Nadhani muda unavyodhidi kusogea mambo yanazidi badilika, hiyo video ya chekecha imefanyika sawa tena na director mzuri saana, so ni kiashiria kizuri (tatizo tu kwanini haitoi? au ramadhani kwa wenzetu waislamu?)
Watu design yako bwana pwilo ndio waliomzinguka Kiba
Hatufiki tuendako kama washauri wenyewe ni mfano wako ww
Unatetea mpka upumbavu badirika bro
Panapo bidi kukosoa kosoa tu
Director Wa ile video n fundi kuliko hata uyo mungu baba
Ila nkiitazama dressing code ya chekecha cheketua
Tayari napata majibu ya kutosha
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.